Nasema kilimanjaro bado yataendelea kuwa maji ya kimataifa!!Maji ya hill water yamekuwa yakipendwa sana jijini dsm nakuanza kuwapiga bao wa kampuni kongwe kama Kilimanjaro na bakhresa ambayo ni Kilimanjaro na uhai.
Packaging ya hill water ina mvuto kiasi kwamba hata ukiendelea kuweka hata maji ya kuchemsha bado inamvuto.
Wakongwe walijibweteka.
sio tangazo.View attachment 1227607
Hahaahaaaa!!hayo maji ya kanda ya ziwa? Ambayo utadhani ni ya kuchemsha yakawekwa kwenye chupa!! Katika maji ambayo yamenishinda ni hayo!! Mala mia dew dropMaji yanayokuja kwa kasi ni Jambo baada ya Kilimanjaro
Mie napenda chupa yake ilivyo