Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

Kilimanjaro ya siku hizi siyo mazuri kabisa.. Inazidiwa mpaka na Sequa ile ya Rombo..

My 10 ten;
1. Sequa
2. Dew Drop
3. Hill
4. Jambo
5. Afya
6. Ruwenzori
7. Kilimanjaro
8. Masafi
9. Udzungwa
10. Uhai
 
Dew drop one of the best
20200530_170405.jpg
 
Kilimanjaro ya siku hizi hata haina ladha. Inazidiwa mpaka na Sequa ile ya Rombo..i
Kwa hayo maji bado sana kufikia Kilimanjaro, namm nilikuwa na mawazo hayo kufananisha Hill na Udzungwa kuwa bora kuliko kilimanjaro, lakn nilikuja kubaina hana ubora wa kushndana na kilimanjaro, ukitaka kufanya uchungzu nunua Maji ya kilimanjaro, na hayo mengne yanywe kias usimalize yote, yaacha hata kwa siku mbili utaona hayo mengne yanatengeneza utando wa uchafu wa kutosha

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Wakuu wa jukwaa leo tujadili kampuni ipi ya maji ni bora baada ya ile Kilimanjaro drinking water ya bonite?

Je ni uhai, afya, udzungwa, hill water au mengineyo? Karibu kwa mjadala...
Uhai siyaoni tena. Moja ya bidhaa za Azam iliyokosa ubora kabisa.
Kama wameamua kusitisha uzalishaji, bila shaka wameona ukweli.
 
Back
Top Bottom