Hill water wamewapiga bao uhai na Kilimanjaro

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,131
3,911
Maji ya hill water yamekuwa yakipendwa sana jijini dsm nakuanza kuwapiga bao wa kampuni kongwe kama Kilimanjaro na bakhresa ambayo ni Kilimanjaro na uhai.

Packaging ya hill water ina mvuto kiasi kwamba hata ukiendelea kuweka hata maji ya kuchemsha bado inamvuto.

Wakongwe walijibweteka.

sio tangazo.
Screenshot_20191009-153705~2.jpeg
 
Maji ya hill water yamekuwa yakipendwa sana jijini dsm nakuanza kuwapiga bao wa kampuni kongwe kama Kilimanjaro na bakhresa ambayo ni Kilimanjaro na uhai.

Packaging ya hill water ina mvuto kiasi kwamba hata ukiendelea kuweka hata maji ya kuchemsha bado inamvuto.

Wakongwe walijibweteka.

sio tangazo.View attachment 1227607
Nasema kilimanjaro bado yataendelea kuwa maji ya kimataifa!!
 
Ni wapi huko, maana huku kwetu wala hawaiti tena maji wanaita Kilimanjaro...Mtu hufika tu dukani na kusema "nipe Kilimanjaro kubwa"

Njia pekee ya kuipiku bidhaa ya kufanana ni bei, Wabongo ukitaka kuwadaka ni kwenye unafuu. Kama walivyofanya Pepsi mpaka Coka cola wakanyoosha mikono juu kuomba poo....kwa tofauti ya shilingi mia tu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom