hata asiyeshiba sizani kama anaweza pitisha siku nzima pasipo kuwazia kitu kinachoitwa mapenzimkuu ni kwa sababu wewe unashiba
Maisha ni mjumuisho wa mambo mengi yakiwemo mapenzi na pesa...
Na uzi umefungwa na maoni yako kaka, mtu kama anashiba sawamkuu ni kwa sababu wewe unashiba
Me nahisi mapenzi ndio yamechukua nafasi kubwa sana kuliko chochote.Maisha ni mjumuisho wa mambo mengi yakiwemo mapenzi na pesa...
Hakuna maisha bila mapenzi na pia hakuna maisha bila pesa (fedha)
Sent using Jamii Forums mobile app
unasema kwamba!!?Na uzi umefungwa na maoni yako kaka, mtu kama anashiba sawa
Me nahisi mapenzi ndio yamechukua nafasi kubwa sana kuliko chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ni kwa sababu wewe unashiba
unataka kuniambia ukiwa haujashiba na upo ktk matatizo kweli unaweza ukamaliza siku nzima pasipo kuwaza mapenzi, me siamini!!Na siku zote ni mzima wa afya na waliomzunguka hali kadhalika.
yaani hata uwe kwenye kipindi gani kigumu, sizani kama unaweza maliza siku nzima pasipo kuwazia kitu kinachoitwa mapenzi..!!
Za weekend ndugu mabibi na mabwana wa jukwaa hili pendwa ningependa kwenda moja/moja katika mada yangu.
Hivi ushawahi kupitisha siku nzima yaani 24hrs pasipo kufikiria ama kuwazia kitu chochote kinachohusu mapenzi/mpenzi? kwa mfano mimi naweza pitisha siku nzima ama juma zima pasipo kuwazia siasa/wana siasa ama, kuwazia dini, ama kuwaza kuhusu utajiri.
Lakini kusema ule ukweli mimi sijawahi kupitisha hata lisaa limoja pasipo kuwazia kitu mapenzi(kitu chochote kinachohusu mapenzi kama kuumizwa, kumbuka mpenzi wangu, kukumbukia mahaba niliyowahi kuyapata ama ninayo yapata kwa sasa, kujutia kumuacha mtu ambaye nimeijua thamani yake baada ya kumuacha) yaani kwa ujumla chochote kinachohusu mapenzi.
Kwako mwana jukwaa ulishawahi kumaliza siku nzima pasipo kuwaza chochote kuhusu mapenzi?
lazima kitamtoka tu iwe isiwe!!