Hili tunda kwa lugha yenu linaitwaje?

Hili tunda kwa lugha yenu linaitwaje?

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
cape-gooseberry-rasbhari.jpg
Ntuntunu - Kihaya
 
nimesahau yanaitwaje ila nikiwa mdogo niliyala sana,ni matamu sana
 
wasukuma hapa hawapo waseme linaitwaje. nakumbuka kuna kipinde nilikuwa moshi niliyala sana
 
Duh! Umeikumbusha mbali yaani enzi hizo na kimbizana na ng'ombe maporini?
Hii kitu inafaa ilimwe sehemu maana mengine ni matamu kuliko maelezo na amini yanafaa kwa juisi.


Kwa jina lingine.............naweka akiba!
 
Back
Top Bottom