Hili tunda gani? Vocha inakuhusu

Hili tunda gani? Vocha inakuhusu

Mkuu topic hii tushaipitia humu
[h=2]
icon1.png
Matunda haya mnayafahamu?[/h]
Matunda haya yanaitwa tamarillo asili yake ni milima ya Andes katika nchi za Peru, Chile, Equador, Colombia na Bolivia. Yanalimwa sana kibiashara nchi ya New Zealand ambapp wanasafirisha nje kama tani 2000 kwa mwaka.Haya kwa kiswahili yanaitwaje?
attachment.php

attachment.php
attachment.php

attachment.php

 
wanyaki tunayaita mapana. au kiswahili tunda damu........ni kwetu lakini
 
Tumante.......ila vocha yako baki nayo........
 
Back
Top Bottom