Hili Tangazo la Kikwete na Mbowe wamekumbatiana ni la nini?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,940
32,343
Wanabodi.

Kuna tangazo lipo pale barabara ya Kawawa, Magomeni Morocco ukiwa unaelekea Kinondoni.

Kuna tangazo la picha kubwa wapo Freeman Mbowe na rais Jakaya Kikwete wameshikana mikono huku wanacheka.

Mimi binafsi sijui la nini sababu hakuna maelezo mengine zaidi ya picha, mwenye kufahamu naomba atujuze.
 
bodi ipi? limewekwa lini? mm nipo nje kidogo hebu lipige picha tuone.
 
hiyo inaonesha wote ni wa moja ila uchaguzi ndio unatenganisha sawa mkuu ritz..
 
Ulitaka waweke maelezo gani tene zaidi ya tabasamu hizo?
1 + 1 = 11
 
Atakabidhi madaraka kwa CDM next election...Alikuwa akimwambia..Aisee Mangi silali nakuwazeni maana mkiamka sijui mtanijia na lipi? Dahh Mnanichemsha sana
 
pale morocco mbona kama pamebomolewa? ipo upande gani? au kwenye lile jumba bovu wanapo chomea bange? weka picha tuone. Mia
 
pale morocco mbona kama pamebomolewa? ipo upande gani? au kwenye lile jumba bovu wanapo chomea bange? weka picha tuone. Mia

Ukiwa umesimama kwenye kituo cha daladala cha Magomeni hospital kama unaelekea Kinondoni unaliona lipo mwanzo wa Kanisa la pale Morocco ya mwanzo
 
Kwa hiyo walikubaliana Chadema na CCM kuweka ilo tangazo?
 
Wanabodi.

Kuna tangazo lipo pale barabara ya Kawawa, Magomeni Morocco ukiwa unaelekea Kinondoni.

Kuna tangazo la picha kubwa wapo Freeman Mbowe na rais Jakaya Kikwete wameshikana mikono huku wanacheka.

Mimi binafsi sijui la nini sababu hakuna maelezo mengine zaidi ya picha, mwenye kufahamu naomba atujuze.

Hata wakereketwa wa CCM wenye Damu za Njano na Kijani hawajui kinachoendelea Chamani! oi sie Tutajua vipi
 
Tatizo lako Ritz1 huna elimu ya uraia ndio maana una mawazo mgando kuwa siasa ni uhasama! Kuna vitu vingi vinawaunganisha hawa wenyeviti wa vyama vikubwa vya siasa hapa nchini. Tofauti yao ni sera tu za vyama vyao
 
Mkuu kama suala wenyeviti Dr Mrema, na Mbatia, mbona hawamo? Halafu mie sina siasa za chuki kama unavyodhani mie nimeuliza tu mkuu
 
Back
Top Bottom