Hili tangazo ITV sio zuri


Kutusua = kufanikiwa jambo
 
wewe unavyoona kile kipochi manyoya ni jiwe au sponji
ww umeshawahi kukipiga jino au kukinyonya kinabonyea kwenda mbele na ndani yake kuna majimaji
sasa unachotakiwa ni kuingiza sindano na kuKITUSUA kwisha kazi
Nakitusua na kinatusuka tu tu tuswi
 
Pia kuna neno "mbeleni" siku hizi utasikia/kuona kweye TV mtu timamu kabisa anatamka "miaka/siku za mbeleni".Mpaka miaka ya 90 lilikuwa ni tusi (hasa mikoa ya Pwani).Labda ndiyo kukua kwa lugha kwenyewe,tuvumilie tu mkuu MAHEPE
 
Last edited by a moderator:
Tangazo halina ubaya wowote, kutusua ni kama nane kufanikiwa, kuponda raha, kufurahia, kutoboa, "to make it"... enzi zile za sekondari tulikua tunatusua sana wikendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…