Hata nano "kichwa" linaweza kuwa na maana mbaya kwa utavyoolitumia.
Mimi nijuavyo enzi zetu "kutusua" ilikuwa kustarehe. Kula raha kwenye shida. Vijana wa siku hizo tulikuwa tunaeda kutusua mpaka saa 9 za usiku huko Afrikana halafu haturudi nyumbani tunawahi foleni ya sukari.
Umempa ya uso fastaaa"nano" = neno
Kunionesha "typo" ndiyo imekuwa ya "uso".
Amma kweli, mapunguani JF ni wengi.
habari! Mara nyingi umekuwa ukitumia neno Punguani kwa faida yangu naomba maana ya hilo neno.
Nilitegemea hali hii itaendelea kukutokea na itaendelea kuwa hivi hatua kwa hatua. Kwa ujumla inatokana na hicho kilemba cha upuuzi ulichojimbanua nacho. Pole bidada ni malezi yanakutesa.Kunionesha "typo" ndiyo imekuwa ya "uso".
Amma kweli, mapunguani JF ni wengi.
Nilitegemea hali hii itaendelea kukutokea na itaendelea kuwa hivi hatua kwa hatua. Kwa ujumla inatokana na hicho kilemba cha upuuzi ulichojimbanua nacho. Pole bidada ni malezi yanakutesa.
Wewe itakuwa katika ile listi ya watoto wa mama uliyesahauliwa. Ambao kila mwanamme ajae kwao huambiwa "mwamkie baba'ko".