Sasa watumia dodoki alafu wajimwagia maji nusu lita, huo uchafu si utabaki mwilini tu?si zingetoka wakayti wa kuoga? maana huku Tanga twatumia dodoki
kwani ukienda magogoni huwa unapitaga mpaka kule uwani? kule wanakoanika mpaka zile nguo nyingine? eee!!!huwa nakuta yameanikwa
unajua kupamngua hoja kama kipa wa Liver