Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,073
- 134,447
Hili swala linaniumiza sana.
Kwamba mimi ni raia wa nchi ambayo kiongozi wake anaweza kuua watu maelfu halafu hakuna chombo cha kumwajibisha
Kwamba mimi ni raia wa nchi ambayo kiongozi wake na wanaomzunguka kwa karibu wapo juu ya katiba
Kwamba nipo kwenye nchi ambayo wazee wake na wastaafu hawana kabisa uwezo wa kukemea lolote
Kama nchi ndio hii basi ni ukweli kwamba hizi historia tunazofindishwa kuhusu Julius Nyerere ni uongo mtupu. Huwezi kustahili sifa hizo ikiwa uliacha katiba na chama cha namna hii