Hili suala linaniumiza na kunifikirisha sana

Hili suala linaniumiza na kunifikirisha sana

Wewe shetani tulia
Mlijitapa sana kuwa mbakwenda kumfurusha Ikulu mchana kweupe vipi mbona unalalamika?
Rais ni Amiri jeshi mkuu
Yaani ukitoka cheo cha Mungu Rais anafuata. Mtu yeyote duniani akicheza na Rais lazima anyooshwe
 
Ndio maana wenye akili hawawezi kusamehe hii kitu wala kuacha ipite hivi hivi, Hadi atakapowajibika mtu.

Na ikawe hivyo siku moja.
 
Back
Top Bottom