Mara moja moja jaribu kuwa na moyo wa kibinadamu ,Leo Kwa mwingine kesho kwakoSi tuliambiwa wamefanya misiba kwa kuzika nguo?
Mara moja moja jaribu kuwa na moyo wa kibinadamu ,Leo Kwa mwingine kesho kwakoSi tuliambiwa wamefanya misiba kwa kuzika nguo?
Nikweli mungu analipa kwa haki ndo maana hata nyinyi mtalipwa kwa uongo mnao ueneza maana mungu hapendi uongo.Ila nyie watu, kama kweli Mungu yupo na analipa kwa haki basi share yenu inawasubiri.
Msio kuwa na mioyo ya kibinadamu ni nyinyi mnao tumia vifo vya watu kupushi agenda zenu za kisiasa.Mara moja moja jaribu kuwa na moyo wa kibinadamu ,Leo Kwa mwingine kesho kwako
Uliambiwa na nani stupid idiotSi tuliambiwa wamefanya misiba kwa kuzika nguo?
Unataka kusemaje hasaUsilalamike wakati siku ya maandamano unajifungia ndani.
Ujinga na uoga si amani. Haki ndio habari ya mjini.Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Haki inakuja baada ya amaniUjinga na uoga si amani. Haki ndio habari ya mjini.
Amani kwa muda wote uhuru, haki ni lini?Haki inakuja baada ya amani
Tumekuwa na amani muda wote mbona haki haijaja?Haki inakuja baada ya amani
ni nchi ya malofa pekee ndio inaweza kuwachekea magaidi na maharamia huku wakichoma na kuharibu miundombini ya umma na na binafsi,Hili swala linaniumiza sana.
Kwamba mimi ni raia wa nchi ambayo kiongozi wake anaweza kuua watu maelfu halafu hakuna chombo cha kumwajibisha
Kwamba mimi ni raia wa nchi ambayo kiongozi wake na wanaomzunguka kwa karibu wapo juu ya katiba
Kwamba nipo kwenye nchi ambayo wazee wake na wastaafu hawana kabisa uwezo wa kukemea lolote
Kama nchi ndio hii basi ni ukweli kwamba hizi historia tunazofindishwa kuhusu Julius Nyerere ni uongo mtupu. Huwezi kustahili sifa hizo ikiwa uliacha katiba na chama cha namna hii

Kwanini mzeeVitu vingine inaweza kuwa ni madhaifu ya katiba au vyovyote vile.Pointi ya msingi ni kwamba Tanzania ina raia wapumbavu sijapata kuona.
Mambo mengi ya hovyo yanafanyika nchini lakini kuna muda mtu anakuja na kauli za kusema ni sawa.Kwanini mzee
Mambo mengi ya hovyo yanafanyika nchini lakini kuna muda mtu anakuja na kauli za kusema ni sawa.
Imagine mtu anashangilia vifo vya raia wasiokuwa na hatia au anaona kilichofanyika ni sawa kisa ni pro Samia au pro CCM(huu ndio upumbavu unanichosha).
Mfano yule kiongozi wa kidini aliyesema watu watakatwa vichwa na yupo tu anakula upepo lakini mtu kama TAL anasota magerezani kwa kesi za uongo na kweli(huu si upumbavu man)
Muda huu ungekua umening'iniza iyo milonjo hewani Huku umewekewa ANTENNA na vyuma kwenye miguu na umewekewa catheter kwenye uume ukiuguza majeraha ya October 29 ndipo labda UNGE COME TO SENSE.Hivi hao maelfu ya watu mnao sema wameuawa mbona misiba haikuoneka mitaani bali inaoneka mitandaoni?
Watu wali kufa lakini si kwa hayo maelfu mnayo sema japo kuwa hilo halimfanyi akwepe kuwajibika kwa vifo vilivyo tokea.
Msio kuwa na mioyo ya kibinadamu ni nyinyi mnao tumia vifo vya watu kupushi agenda zenu za kisiasa.
Kitendo cha kuongeza idadi ya walio uawa ni dhihirisho tosha kuwa mlitaka wakfe wengi zaid ili mpate mtaji wa kisiasa.
Kila mtu aliyeona hatari aliweza kusema kabla ya hiyo siku hata mimi nilisema.Lakini nguvu iliyotumika ilikuwa sio sahihi man(Bila kujali raia walikuwa informed or not)Sisi tuliwaambia vijana kuwa ikifika 29/10 msiandamane .
Kaeni ndani , Ila tukaitwa chawa
Kila mtu aliyeona hatari aliweza kusema kabla ya hiyo siku hata mimi nilisema.Lakini nguvu iliyotumika ilikuwa sio sahihi man(Bila kujali raia walikuwa informed or not)
Nyerere alitengeneza propaganda za kwamba ametuunganisha wakati kiuhalisia ilikuwa ni propaganda za kusiasa tu. Ukabila tanzania ni mkubwa kama zilivyo nchi zinazotuzunguka, udini unatutesa vibaya mno, Mbaya zaidi tumeongeza tatizo lingine ambalo ni utanganyika na uzanzibari Kilichopo saizi ni kujiliwaza tu kwamba hayo mambo hayapo, in deep hayo mambo ndio yanayotusumbua na ndio yanayofanya suala la HAKI lisitekelezeke katika nchi hii. Nyerere alijua hayo mambo ya ukabila, udini, uzanzibari na utanganyika yapo, ndo maana kila wakati aliyapigia kelele, hakuyapenda lakini alikosa mbinu za kuyaondoa hadi anakufa.Naunga mkono hoja mkuu habari za Nyerere zilikuwa za kiwaki tu yule jamaa ndio kachangia pakubwa sana hapa tulipo sisi watanganyika na huko alipo alaaaniwe sana yule mzee
Oscar Kambona alikuwa sahihi sana lakini akaishia kuitwa mhaini