Hili suala la udini ni kama kuna mtu anatafuta huruma

Hili suala la udini ni kama kuna mtu anatafuta huruma

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,499
Reaction score
18,166
Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa ninachokiona ni kama kuna mtu anaitumia hii kete ya udini ili kutafuta kitu kinaitwa SYMPATHY na ionekane kwamba kuna mtu anaonewa kutokana na "imani" yake ya kidini.

Hao wakujiita wanazuoni wanasema mbona waraka unaandikwa tu kwa upande fulani tu na sio upande fulani. Wanachoshindwa Kujua ,Swala la waraka wa TEC SIO LA KWANZA na halijawahi kumwangalia nani ni dini fulani.

Ninachoshukuru Raia wa zama hizi za robo karne sio wale wa zama za zidumu fikra za mwenyekiti. Watu wameona na kushuhudia kilichotokea.

Swala la kutumia udini kutafuta Huruma pasipo kuwajibika kwa yaliyotokea ni kama kutafuta HURUMA...na limeshafeli vibaya sana. Hao wanAzuoni ni kama mbuzi aliyepandishwa juu ya mti. Hii ni script tu .
 
Yani ktk dunia ya nyakati hizi unatumia dini kujaribu kuficha makosa yako?

IMPOSSIBLE.

Labda ingekuwa kwenye taifa ambalo majority ni dini moja, lkn Tanzania hii hakuna majority wa dini moja, ni almost half by half.
Kweli kabisa
 
kipindi fulani wakati barabara ya kimara -kibaha inatengenezwa
,nyumba nyingi za barabarani zilivunjwa ikiwemo msikiti fulani ambao ulikuwa upo barabarani na uliwekewa X kwamba utavunjwa siku na saa yeyote..
ikawa mle msikitini kuna vikao mbali mbali waumin wanakutana kwa siri kujadili hatma ya kuvunjwa msikiti ule..na jinsi ya kuwakabili waendesha zoezi la kuvunja msikiti.
Basi huwezi amini kila wanachoongea kwa siri mle ndani msikitini , kesho yameshafika kwa wenye mamlaka..
Ikaja kugundulika mle ndani kuna vitengo kibao kwa mwamvuli wa usilam..

Point yng ni kwamba hao wote mnaowaona wanapiga kelele za udini hao wote sio watu wa kawaida kama mnavyowafikiria.
Hao wote wapo kazi maalum.,
They are doing for purpose.
 
Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa ninachokiona ni kama kuna mtu anaitumia hii kete ya udini ili kutafuta kitu kinaitwa SYMPATHY na ionekane kwamba kuna mtu anaonewa kutokana na "imani" yake ya kidini.
Hao wakujiita wanazuoni wanasema mbona waraka unaandikwa tu kwa upande fulani tu na sio upande fulani.
Wanachoshindwa Kujua ,Swala la waraka wa TEC SIO LA KWANZA na halijawahi kumwangalia nani ni dini fulani . Ninachoshukuru Raia wa zama hizi za robo karne sio wale wa zama za zidumu fikra za mwenyekiti. Watu wameona na kushuhudia kilichotokea. Swala la kutumia udini kutafuta Huruma pasipo kuwajibika kwa yaliyotokea ni kama kutafuta HURUMA...na limeshafeli vibaya sana. Hao wanAzuoni ni kama mbuzi aliyepandishwa juu ya mti. Hii ni script tu .
Gaidi Samia na magaidi wenzie achomoki kwa sasa chama chote cha ccm kimegeuka cha kigaidi ...wanajaribu kukimbia hukumu ya hatima 😁
 
Hawataweza kuingiza udini na watu wakawasikiliza, Gen Z sio kizazi cha mwalimu na Mwinyi. Social media imewafanya waone mambo mengi sana ikiwamo haya ya familia kujaa bungeni/baraza la mawaziri; na hili la wengi kushindia ugali na chumvi huku wengine wachache wakiibugia keki ya taifa bila huruma. Naona mwisho wa CCM umekaribia. It's not about IF it's about WHEN.
 
Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa ninachokiona ni kama kuna mtu anaitumia hii kete ya udini ili kutafuta kitu kinaitwa SYMPATHY na ionekane kwamba kuna mtu anaonewa kutokana na "imani" yake ya kidini.

Hao wakujiita wanazuoni wanasema mbona waraka unaandikwa tu kwa upande fulani tu na sio upande fulani. Wanachoshindwa Kujua ,Swala la waraka wa TEC SIO LA KWANZA na halijawahi kumwangalia nani ni dini fulani.

Ninachoshukuru Raia wa zama hizi za robo karne sio wale wa zama za zidumu fikra za mwenyekiti. Watu wameona na kushuhudia kilichotokea.

Swala la kutumia udini kutafuta Huruma pasipo kuwajibika kwa yaliyotokea ni kama kutafuta HURUMA...na limeshafeli vibaya sana. Hao wanAzuoni ni kama mbuzi aliyepandishwa juu ya mti. Hii ni script tu .
Ukiona watu wana umoja wameweza fabya jambo flani hata wewe ukashtuka bas ili wasifanikiwa majasusi hutumia silaha ya devide and rule
 
Ukiona watu wana umoja wameweza fabya jambo flani hata wewe ukashtuka bas ili wasifanikiwa majasusi hutumia silaha ya devide and rule
Kabisa yaani. Hii ni devide and rule. Na ni moja ya silaha mbaya sana kutumia
 
Hatafuti huruma, Anabadili mjadala wa msingi ambao umetawala miongoni mwetu, Wananchi hawamtaki yeye na vibaraka wake na wananchi hao hoja za kumtaa sio za udini au uzanzibar wake, Bali ni Mwenendo mbaya aliounyesha wa kuua watu, kukandamiza wapinzani wake, kuteka watu nk. Amebanwa huko kaamua atumie hiyo mbinu ili watu waache kujadili udhalimu wake waanze kushambuliana kulingana na Imani zao. Alivyomjinga anaamini hivyo ataweza kutawala kwa Amani wakati kikichafuka hapa kitagusa hadi vitukuu wake
 
1001344889.jpg
 
shukrani sana watu wanataka waraka wa TEC hakuna sehemu umetaja dini wa kumlenga mtu wa dini flani na serikali haina dini tufunge mjadala
 
Back
Top Bottom