Nimeishia kwenye neno"kichochezi"Toka alipotoa maoni yake kwenye vyombo vya habari kuhusu kile anachokifikiri kwa utawala wa awamu ya tano mh Tundu Lissu amekuwa mjadala kwa makundi mbalimbali nchini.
Pamoja na maelezo mengi ya kichochezi aliyozungumza mh Lissu, hili si kosa lake la kwanza kwa watanzania.
Ikumbukwe mh lissu alisha wahi kutoa dhihaka kwa mwasisi wa taifa hili Mwl Nyerere na kuwafanya watanzania kujiuliza juu ya uwezo wake kiakili.
Tamko lake la juzi limedhihirisha kuwa si tu anaupungufu kiakili lakini hata nafasi yake ya uongozi inatakiwa kutazamwa mara mbilimbili. Mh Tundu lissu ametoa madai ya kupendelewa kanda ya ziwa akasahau aliko chadema Mh Mbowe ni mwenyekiti na anatoka kaskazini na mh Lowassa alikuwa mgombea urais akitokea kaskazini, sitowataja wengine...
Lakini nitoe tu rai wakati tukiwa tunatafakari nafasi ya uongozi kwa mtu kama lissu,ni vyema kutoa matamko yasiyo ya kichochezi au kulenga kukejeri kundi moja dhidi ya jingine. Nafasi ya uongozi ni kwa mtu mwenye sifa na si kwasababu ya ukanda hata wote wangetoka eneo moja kama wanasifa kwanini wasiwe? wawe wa kaskazini au mashariki au magharibi swala ni uwezo na si mengine.
Kibiti wamewaambia wananchi wajilinde wenyewe!!Ccm na serikali yake wanapambana na mtu mmoja.
Ni kwa sababu pia inaongozwa na mtu mmoja na sasa yuko mapumzikoni karibia na Dodoma ndo maana polisi Dodoma inaingia hadi mahakamaniCcm na serikali yake wanapambana na mtu mmoja.
Hii ndio naipata ndugu, hebu funguka kidogoKibiti wamewaambia wananchi wajilinde wenyewe!!
Toka alipotoa maoni yake kwenye vyombo vya habari kuhusu kile anachokifikiri kwa utawala wa awamu ya tano mh Tundu Lissu amekuwa mjadala kwa makundi mbalimbali nchini.
Pamoja na maelezo mengi ya kichochezi aliyozungumza mh Lissu, hili si kosa lake la kwanza kwa watanzania.
Ikumbukwe mh lissu alisha wahi kutoa dhihaka kwa mwasisi wa taifa hili Mwl Nyerere na kuwafanya watanzania kujiuliza juu ya uwezo wake kiakili.
Tamko lake la juzi limedhihirisha kuwa si tu anaupungufu kiakili lakini hata nafasi yake ya uongozi inatakiwa kutazamwa mara mbilimbili. Mh Tundu lissu ametoa madai ya kupendelewa kanda ya ziwa akasahau aliko chadema Mh Mbowe ni mwenyekiti na anatoka kaskazini na mh Lowassa alikuwa mgombea urais akitokea kaskazini, sitowataja wengine...
Lakini nitoe tu rai wakati tukiwa tunatafakari nafasi ya uongozi kwa mtu kama lissu,ni vyema kutoa matamko yasiyo ya kichochezi au kulenga kukejeri kundi moja dhidi ya jingine. Nafasi ya uongozi ni kwa mtu mwenye sifa na si kwasababu ya ukanda hata wote wangetoka eneo moja kama wanasifa kwanini wasiwe? wawe wa kaskazini au mashariki au magharibi swala ni uwezo na si mengine.
Baada ya kumgundua kuwa ni tahira wamempuuza mkuu.Karma ni kweli, hivi kuna sababu yeyote ya kuhahangaika na mtu mwenye upungufu wa akili. Tangu lini mgonjwa wa akili anashugulikiwa na vyombo vya dola badala ya kusaidiwa!!?
Kama wewe siyo lisu basi nawe ni tahira kama LissuMijitu hata ikiwa na waume/wakezao kitandani yanamuwaza lissu.......Mnanikera!!!Ebu toa litakataka lako.Jinga kabisa!!The millions of times are dulily used to present rubbish issues over Lissu.