IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,714
- 8,118
Wasalaam wapendwa.......
Niko hapa home baada ya kutoka kijiweni kutafuta riziki nimejipumzisha.,mara namuona mama mtoto wangu anatoka kuelekea sokon(sio mbali na home) huku simu kaiacha mezan.
Simu inaita mara kadhaa bila kupokelewa(sina kawaida ya kupokea simu ya mtu bila ridhaa yake) hii ni ktk juhudi za kutekeleza na kuilinda ile law of privacy kwenye mawasiliano ya simu.
Mara namuona mama mtoto anaingia na kapu la matunda na vitu vingine_namuambia simu imeita mara nyingi,analalamika eti kwanini sijapokea...eti sio vizuri ninavyofanya.
My take,..Je_ni sahihi kupokea simu ya mkeo/mumeo ikiita na kama yeye hayupo...?