Hili ni zali la mentali ama ni balaa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili ni zali la mentali ama ni balaa.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kijana Msomali, Oct 2, 2012.

 1. K

  Kijana Msomali Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Morning My People.

  Ilikua Asubuhi mishale ya Saa Moja Na Dakika Kama Arobaini, nikiwa nimetulia katika Mgahawa wa Yummy Yummy pale mitaa ya kati, oh i mean City Center, nikipata kifungua kinywa a.k.a Break Fast (Two Slice Of Bread/Two Sausages na Cup Of Cappuccino. Si Unajua Kabla Hujaingia Kwa Office Ni Lazima Ujaze Tummy Ili Upate Energy ya Kupiga Mzigo.

  Mara akaingia mdada mmoja mrembo flani hivi (Kusema Kweli Nilvutiwa na Viatu Vyake - High Heels). But Yule Mdada She Looked Familiar To Me, Nikiwa Bado Najiuliza Nitakua Nimemuona Wapi Huyo Mdada, OOH My God Si Mdada akaja straight mpaka nilipokua nimekaa. Moyo ukanistukaje???? Kabla Ya Moyo Haujatoka Kwenye Mstuko. Nikisikia Sauti Ikaniuliza...Hello Boy, Can I Can I join You?......Na MM Nikamjibu Kwa Kifupi...Yes, Go On.....Muhudumu Akaja Fasta Kuchukua Order...Yule Mdada Akamwambia na mm nilitee kama anachokula huyo Boy...Mhudumu Akesepa Zake...Tukabaki Wawili...Moyoni nilikua bado najiuliza huyo mdada mbona kama namjua...nikiwa bado najiuliza...Yule Mdada, Akanitupia Swali...Do You Come Here Often....Nikamjibu Kwa Kifupi Sometimes...Baado Ya Hapo Mzungumzo Yetu Yalikua Kama Ifuatavyo.

  MIMI: YOU LOOK FAMILIAR TO ME, DO I LOOK FAMILIAR TO YOU?

  MDADA: NO, I HAVE NEVER SEEN U BEFORE, BUT MAY BE UTAKUA UMENIONA KWENYE TV.

  MIMI: MHHH!!! SO UNAFANYA KAZI KWA TV STATION.

  MDADA: HAPANA, UMESHAWAHI KUSIKIA BONGO MOVIE.

  MDADA: YEAH

  MDADA: OKAY, NIKO KWENYE TASNIA HIYO.

  MIMI: GOOD TO KNOW THAT, MY NAME IS......(Nikamtajia Jina Langu) And Nice To Meet You.

  MDADA: MY NAME IS YVONNE, PLEASURE IS MINE. Umeshawahi Kufikiria Kufanya Acting.

  MIMI: NO, NO HATA SIKU MOJA.

  MDADA: WHY?

  MIMI: BECAUSE I DONT THINK I CAN DO ACTING...NIKO NA MY GOOD CAREER...

  MDADA: BUT, YOU HAVE ALL POTENTIALS TO BE GOOD ACTOR.

  MIMI: MHHH!!! WHAT POTENTIALS??

  MDADA: YOUR LOOK, YOUR HEIGHT AND CONFIDENCE IN YOU...Una Sifa Za Kuwa Actor Kusema Kweli.

  MIMI:MHHH!!! DO U THINK SO?

  MDADA: KWELI KABISA.

  MIMI: OKAY, I WILL THINK ABOUT IT

  Nikajua mazungumzo yetu yatakua yameishia hapo....Lol....Yvonne akatoa Business Card akaniambia Call Me When you are ready na nitakusaidia kwenye tasni ya movie, niko serious you can be a good and famous actor...Mkaka wa Watu Nikachukua ile Business Card....Then, akimuita mhudumu, akufungua pochi, akatoa pesa na kumpa yule mhudumu akamwambia hivi - Kata Na Huyu Brother and Keep Change - Then She Shook My hand and Say Goodbye.

  Dah.....Kazi Hapa Kwa Office Kabisa....Yvonne ameniachia Maswali Mengi Kichwani na Maneno Machache Mdomoni...lolz


   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  hahaha! The best I can say is I love the way umepangilia kazi yako... Msomaji unasoma kwa raha zote. Hongera sana Msomali kwa hilo zari! Nina maswali mengi ila naona yatakata mzuka wa furaha yako..
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Sijapata lengo la ujumbe wako
   
 4. K

  Kijana Msomali Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  AshaDii

  Uliza 2 My Dear...Am Here For U...Lolz
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Makahaba wenye viwango wako BONGO MOVIES!!!! Si maneno yangu bali ni Mwanabongofleva Ney wa Mitego!!!!!
   
 6. K

  Kijana Msomali Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  lara 1

  Do U Think She z *****?
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,034
  Trophy Points: 280
  same here.....but am happy amekula sausage leo....sijazila siku nyingi.....
   
 8. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hakuna zali hapa inaonesha huna exposure (meeting with different frndz around da world), thus y yo hv experienced the difference, kama ni monalisa ambaye jina lake halisi ni YVONNE(mama wawili), sidhani kama kuna jipya, ni vizuri umchukulie kama rafiki wa kawaida na kama kuna nyongeza then itajitokeza baadaye but usikomplicate.
   
 9. s

  souvenir Senior Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha movie wala nini ina mana ye kila mwanaume mwenye sifa akikutana naye anamrecruit,mpigie basi na wewe tukuone kwnye picha na wema,na hivi ni dervocee
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  What i think is not of importance coz Watu hawafanani ila alieimba huo wimbo amedai ana ushahidi kabisa kuwa ndo hivo tena!!!!

  May you should find out and comvise me!!!! ( If you dig your own grave dnt dig it too deep!!! LOLEST!!!!)
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280

  Hahahaaaaa! Preta bwana! Umenikumbusha mbali sanaaaaa! Enzi tunakua, soseji jpili(sio zote) tena moja! moja! akija mgeni kutoka mkoa akizikataa TUNASHUKURUJE!!!!! Ngoja niendelee kubinya vi key board vya watu!!!!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nashukuru umeniruhusu... Nilitaka tu kujua ni mahusiano ya aina gani wapenda kwa maana unapenda nani awe na upper say na vitendo? Are you OK ukiwa mkononi kwa mwanamke ili mradi tu ni mzuri na ana uwezo? Kukulipia bill yako sio tatizo, tatizo linakuja;


  1. Kakuita 'boy' ina maana kakuona ni mvulana tu sio mwanaume, yaani bado mtoto.
  2. Inaonekana alikuja kuketi ulipo sababu aliona unafaa kutumika. Yaani utamfaa kwa tasnia yake hio ya movie... Akajua kabisa akiketi karibu na wewe atapata tu attention yako na ndio maana kakuachia Biz card yake.
  3. Inaonesha yupo step ahead of you kuliko wewe! Lol.

  Ndio maana nikasema kuwa nahofia kuwa nitauwa vibe yako... Sidhani kama hilo ni zari la mentali na kama ni hivo basi possibility ni ndogo sana. Uzuri wa hili naweza kuwa nimekosea... hahaha!
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  hahaha! Naona tupo pamoja... Mie kanitamanisha cuppucchino...
   
 14. K

  Kijana Msomali Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani, Si Kama Nimesema I am Sexually Interested With Her...I think You GOT THIS WORING My AshaDii...
   
 15. g

  geophysics JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duuhhhh.......mzee umekutana na jini kama uamini jaribu utaona jinsi pesa zako mfukoni zitakavyotoweka.
   
 16. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Ndoto zko ni kitu cha kuheshimu..... Huenda hapo ndio utakapo tokea babaaa.......
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Basi niombe samahani... For niliamini in such cases mara nyingi inakuwa ni mambo ya Chemistry. Na yawezekana kuwa huwa sielewi vema hii ya 'zari la mentali' sababu mie nijuavo ni kuwa ukisema hivo kwa mwanaume ina maana umepata binti mzuri na mrembo mwenye uwezo wa kipesa na kukutoa pia...

  Sorry Msomali hopefully no hard feelings.
   
 18. K

  Kijana Msomali Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  AshaDii

  You want Cappuccino?? Tukutane PM Me....
   
 19. K

  Kijana Msomali Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  When I Said Zali La Mentali...I meant the likelihood of being in movie industry, so u never know i could get far by using her networks....NWEIS APOLOGY ACCEPTED
   
 20. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Niliposoma heading nikadhani labda kuna demu kakuzimikia na kakununulia mkoko wa maana kumbe umeonana na Monalisa!! Jamani ni lini hili jukwaa litaboreshwa mana kuna vitu vinabore sana!
   
Loading...