Hili ni zali la mentali ama ni balaa.....

AshaDii

Mhhh hiyo salama yako haina hata swagga za kike...vibaya hivyo my dear

Msomali dear swagga za kike nitazitoa wapi mimi mtu mzima? Hizo za kike nimesahau hata namna ya kuzifanya... Na hata ningekuwa nazo shemeji yako mkali kweli kweli yaani... Lol!
 
PiliPili Kali na Twaila Every Day.....Brother In Law Atakuelewa Tu....Besides I'M Innocent Boy...Lolz
 
Nashukuru umeniruhusu... Nilitaka tu kujua ni mahusiano ya aina gani wapenda kwa maana unapenda nani awe na upper say na vitendo? Are you OK ukiwa mkononi kwa mwanamke ili mradi tu ni mzuri na ana uwezo? Kukulipia bill yako sio tatizo, tatizo linakuja;

  1. Kakuita 'boy' ina maana kakuona ni mvulana tu sio mwanaume, yaani bado mtoto.
  2. Inaonekana alikuja kuketi ulipo sababu aliona unafaa kutumika. Yaani utamfaa kwa tasnia yake hio ya movie... Akajua kabisa akiketi karibu na wewe atapata tu attention yako na ndio maana kakuachia Biz card yake.
  3. Inaonesha yupo step ahead of you kuliko wewe! Lol.

Ndio maana nikasema kuwa nahofia kuwa nitauwa vibe yako... Sidhani kama hilo ni zari la mentali na kama ni hivo basi possibility ni ndogo sana. Uzuri wa hili naweza kuwa nimekosea... hahaha!
AshaDii ni kweli kabisa !
 
Last edited by a moderator:

Kumbe na mimi nilimwelewa kama ulivyomwelewa wewe! Hilo zali cjui anataka nini ,si zali la mwigizaji mbona huyu dada alikuwa wazi .....yaelekea ndugu huyu hana exposure kubwa na opposite sex.....kazana bana uigizaji unalipa unaweza kukutoa!
 
Kweli wewe bongo movie maana hio ulioandika hapo script tosha
 
Zali la mentali???? Hahah so anataka we nae uigize? Angalia bana kamtego hakooooo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom