Hili ni tatizo......

Hili ni tatizo......

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Wachungaji 3 walikutana waelezane matatizo yao ili waweze kuombeana wa kwanza akasema jamani mimi tatizo langu wizi yaani kila nikimaliza ibada lazima niibe hela za sadaka,Wapili akasema jaman mimi tatizo langu napenda wanawake yaani kila mwanamke nataka kulala nae nimeshatembea na wanakwaya wote,Watatu badala ya kuongea akaanza kulia wenzie wakamuuliza unalia nini?akajibu jamani mimi tatizo langu umbea yaani haya yote tuliongea lazima nikaseme...
 
Huyo wa tatu katisha jamani hahahaha

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Wakwanza noma jaman

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Duuh huyo wa tatu nomer...ukienda kuungama anatoa zote nje
 
Nimempenda wa kwanza maana anapambana kuhakikisha anaachana na umaskini ila wa pili na tatu hawafai maana ni adui wa maendeleo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom