Hili ni tatizo la kisaikolojia

kwanini kwenda kinyume na matakwa ya mwanadamu iwe matatizo ya kisaikolojia..? na kwanini isiwe kwenda kinyume na sheria za asili ndo iwe ni matatizo ya kisaikolojia..?
Noted kuna point hapa ama lugha ni moja lakini tafsiri ni tofauti
 
Sawa lakini hapa Kwanza ni lazima tupate tafsiri halisi ya nini maana ya sheria za asili na matatizo ya kisaikolojia
sheria asili namaanisha yale matakwa yote ambayo nature inataka au system nzima ya mazingira
 
Back
Top Bottom