Hili ni tatizo kwa vijana wengi wa Kitanzania, nimesikitishwa sana. Serikali iangalie jambo hili

Hahaha na UTAJIRI wote huo wa Kiduku Lilo bado ajatimiza ndoto zake..
??

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ze kiduku lilo, mutu ya pesa....Ebwana fanya mpango umtoe chochote kitu Konda Msafi aendeleze story yetu ya Khumbu maana wewe hushindwi chochote
 
mkuu mbona ulisoma ukafika mbali huko, mm nilivyoona tu majina ya nchi nyingi ikabid tu niangalie jina la mtoa mada
Nilijisahau mkuu niliona swala la nchi nyingi nilifikiri ni kawaida nikaja kuduwaa hapo kwenye Mil 2 ndo nikarudi fasta kusoma jina la mtoa mada nakuta kumbe ni Kiduku Lilo.
 
Hao ambao hawamkubal na wanamchukia mtu ambaye hawajawah muona ndio wenye stress na maisha wanahis haya hayapo dunia hii n uzush japo naamin kiduku n kapuku Kama mm lakn anaonyesha uhalisia wa maisha ambayo vijana inabid tupambane ILI UZEENI TUCHEZE GOLF NA SIO DRAFT AU BAO
 
Bima yake ya gari inabima ya maisha ndani yake na inalipwa 500M kiduku bwana. Hivi unajua hata bima wanavyolipa maisha ya watu huangalia nini?
Inategemea factors nyingi sana kulipa maisha ya mtu uliyemgonga.
Anyway wacha tunywe chai.
 
Lakini comprehensive insurance kwenye life assurance max cap price ni 60m...
 
a.k.a CHESS
 
Usemayo ni kweli mzeiya kwa mara ya kwanza naisoma post yake ya issue ya feri alivyokwenda kununua samaki yaani nilijua mimi c ki2 yaani jembe huyu ananipa nguvu za kuhaso sana
 
tunaolipwa laki mbili kwa mwezi na tuna mke na watoto watatu,,, tukutane baadae tudiscus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…