Hahaha na UTAJIRI wote huo wa Kiduku Lilo bado ajatimiza ndoto zake..??Watu wenye stress/msongo wa maisha watakuattack sana kumbe wangezichukulia story zako in a positive way wangekuwa mbal wanaendesha Jeep Kama wewe
Binafs story zako zinanifunza kupambana na naamin wapo watu wanaish maisha Kama hayo kwasababu wamepambana
Endelea kutuamsha japo naamin hata wewe upo kwenye mapambano ili utimize ndoto zako
Nilijisahau mkuu niliona swala la nchi nyingi nilifikiri ni kawaida nikaja kuduwaa hapo kwenye Mil 2 ndo nikarudi fasta kusoma jina la mtoa mada nakuta kumbe ni Kiduku Lilo.mkuu mbona ulisoma ukafika mbali huko, mm nilivyoona tu majina ya nchi nyingi ikabid tu niangalie jina la mtoa mada
Mamaee atimize wap anatuongezea tu siku za kuish na kuongeza upambanaji ila namkubali sana jamaaHahaha na UTAJIRI wote huo wa Kiduku Lilo bado ajatimiza ndoto zake..??
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hao ambao hawamkubal na wanamchukia mtu ambaye hawajawah muona ndio wenye stress na maisha wanahis haya hayapo dunia hii n uzush japo naamin kiduku n kapuku Kama mm lakn anaonyesha uhalisia wa maisha ambayo vijana inabid tupambane ILI UZEENI TUCHEZE GOLF NA SIO DRAFT AU BAOWengine huwa wanamtukana jamaa lakn nishagundua watu wa namna hii ni wa mhimu Sana , the same to Ontario or Sir Jeff Denis ...wengi wanamuita Tapeli lakn ukisoma madini yake utapata kitu , jamaa alinisaidia Sana kwenye kudhubutu ..mwamba anatia hasira kinyama ya kupambana na kutafta possible kwenye impossible ....kimsingi post zake insta ndo zilinifanya nitoke sehemu moja kwenda nyingine aisee , visa vyao vyaweza kuwa feki Ila vina nguvu Sana ukivitumia positively....watu waliomaliza chuo na kuajiriwa hawawez kuwaelewa vizur hawa watu .....
a.k.a CHESSHao ambao hawamkubal na wanamchukia mtu ambaye hawajawah muona ndio wenye stress na maisha wanahis haya hayapo dunia hii n uzush japo naamin kiduku n kapuku Kama mm lakn anaonyesha uhalisia wa maisha ambayo vijana inabid tupambane ILI UZEENI TUCHEZE GOLF NA SIO DRAFT AU BAO
Naifukua halafu nakutag, naikumbuka ile.
Itapendeza mzee babaNaifukua halafu nakutag, naikumbuka ile.
Usemayo ni kweli mzeiya kwa mara ya kwanza naisoma post yake ya issue ya feri alivyokwenda kununua samaki yaani nilijua mimi c ki2 yaani jembe huyu ananipa nguvu za kuhaso sanaWatu wenye stress/msongo wa maisha watakuattack sana kumbe wangezichukulia story zako in a positive way wangekuwa mbal wanaendesha Jeep Kama wewe
Binafs story zako zinanifunza kupambana na naamin wapo watu wanaish maisha Kama hayo kwasababu wamepambana
Endelea kutuamsha japo naamin hata wewe upo kwenye mapambano ili utimize ndoto zako