Hili ni tatizo kwa vijana wengi wa Kitanzania, nimesikitishwa sana. Serikali iangalie jambo hili

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
16,933
2,000
Watu wenye stress/msongo wa maisha watakuattack sana kumbe wangezichukulia story zako in a positive way wangekuwa mbal wanaendesha Jeep Kama wewe

Binafs story zako zinanifunza kupambana na naamin wapo watu wanaish maisha Kama hayo kwasababu wamepambana

Endelea kutuamsha japo naamin hata wewe upo kwenye mapambano ili utimize ndoto zako
Hahaha na UTAJIRI wote huo wa Kiduku Lilo bado ajatimiza ndoto zake..??

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Pulida

Member
Jan 4, 2021
94
150
Ze kiduku lilo, mutu ya pesa....Ebwana fanya mpango umtoe chochote kitu Konda Msafi aendeleze story yetu ya Khumbu maana wewe hushindwi chochote
 
plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,087
2,000
mkuu mbona ulisoma ukafika mbali huko, mm nilivyoona tu majina ya nchi nyingi ikabid tu niangalie jina la mtoa mada
Nilijisahau mkuu niliona swala la nchi nyingi nilifikiri ni kawaida nikaja kuduwaa hapo kwenye Mil 2 ndo nikarudi fasta kusoma jina la mtoa mada nakuta kumbe ni Kiduku Lilo.
 
Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
2,776
2,000
Wengine huwa wanamtukana jamaa lakn nishagundua watu wa namna hii ni wa mhimu Sana , the same to Ontario or Sir Jeff Denis ...wengi wanamuita Tapeli lakn ukisoma madini yake utapata kitu , jamaa alinisaidia Sana kwenye kudhubutu ..mwamba anatia hasira kinyama ya kupambana na kutafta possible kwenye impossible ....kimsingi post zake insta ndo zilinifanya nitoke sehemu moja kwenda nyingine aisee , visa vyao vyaweza kuwa feki Ila vina nguvu Sana ukivitumia positively....watu waliomaliza chuo na kuajiriwa hawawez kuwaelewa vizur hawa watu .....
Hao ambao hawamkubal na wanamchukia mtu ambaye hawajawah muona ndio wenye stress na maisha wanahis haya hayapo dunia hii n uzush japo naamin kiduku n kapuku Kama mm lakn anaonyesha uhalisia wa maisha ambayo vijana inabid tupambane ILI UZEENI TUCHEZE GOLF NA SIO DRAFT AU BAO
 
kikiboxer

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,345
2,000
Bima yake ya gari inabima ya maisha ndani yake na inalipwa 500M kiduku bwana. Hivi unajua hata bima wanavyolipa maisha ya watu huangalia nini?
Inategemea factors nyingi sana kulipa maisha ya mtu uliyemgonga.
Anyway wacha tunywe chai.
 
Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,579
2,000
Lakini comprehensive insurance kwenye life assurance max cap price ni 60m...
 
plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,087
2,000
Hao ambao hawamkubal na wanamchukia mtu ambaye hawajawah muona ndio wenye stress na maisha wanahis haya hayapo dunia hii n uzush japo naamin kiduku n kapuku Kama mm lakn anaonyesha uhalisia wa maisha ambayo vijana inabid tupambane ILI UZEENI TUCHEZE GOLF NA SIO DRAFT AU BAO
a.k.a CHESS
 
wakibisi

Member
Jan 30, 2021
18
45
Watu wenye stress/msongo wa maisha watakuattack sana kumbe wangezichukulia story zako in a positive way wangekuwa mbal wanaendesha Jeep Kama wewe

Binafs story zako zinanifunza kupambana na naamin wapo watu wanaish maisha Kama hayo kwasababu wamepambana

Endelea kutuamsha japo naamin hata wewe upo kwenye mapambano ili utimize ndoto zako
Usemayo ni kweli mzeiya kwa mara ya kwanza naisoma post yake ya issue ya feri alivyokwenda kununua samaki yaani nilijua mimi c ki2 yaani jembe huyu ananipa nguvu za kuhaso sana
 
baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,574
2,000
tunaolipwa laki mbili kwa mwezi na tuna mke na watoto watatu,,, tukutane baadae tudiscus
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom