Alaa kumbe yapo ya kusugulia mwili,wacha nitatafuta mkuu mana haipendezi ah
sabuni tosha sana mkuu. Sema mara moja kwa wiki ukiwa na muda unatumia then full kugala gala kitandani na muwasho. Ila kuna kitu nimejifunza juzi pia, taulo lilikuwa safi ndiyo natumia kwa mara ya kwanza toka lifuliwe na nilitumia dodoki halikuwasha kabisa.Dah mkuu linawasha sana mm kwa wiki naogea dodoki mara moja tu kwa kuvizia kuepuka hiyo adha.
Kwani sabuni peke yake si inatosha mkuu ukipaka ukaoga si fresh tu mkuu au?
Limefanyaje mkuuTaulo tu
Limefanyaje mkuu
Maji yanaweza ku activate
Mimi si Daktari mpendwa
Kufua vipi mkuu au haisaidii nayo?We badilisha kwanza niliwai kuwa na tatixo hilo nilipobadilisha taulo ikawa fresh taulo linachoka pia au kuna kitu kimeingia humo mdudu mwasho n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia agoogle pathological condition moja inaitwaMaji yanaweza ku activate
PoleHaya maji ya ziwa victoria na mimi nimeanza kuwashwa hivi karibuni maelezo ni kama yako kabisaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauriYawezekana tatizo lako likawa ni aquagenic urticaria hii inatafasiriwa kwamba una allergy ya maji, na wataalamu wanasema tatizo hili halina tiba, lakini unaweza kulipunguza sana kwa kuoga maji ya moto au vugu vugu na pia hakikisha unaoga kwa muda mfupi kadiri iwezekanavyo na jitahidi ukishamaliza tu kuoga hakikisha mwili umeufunika vizuri usipate upepo au baridi.
Pia nivizuri ukanunua bathrobe. Na ikiwa adha ya muwasho itaongezeka tafuta strong anti allergies kama LORATIDINE ama nyingine kama hiyo.
Na mimi Ni mmoja Kati yenu yanawasha sijui sababu.Haya maji ya ziwa victoria na mimi nimeanza kuwashwa hivi karibuni maelezo ni kama yako kabisaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
FBP au kipimo ganiUsikuchukulie kama tatizo rahisi pima damu inaweza kuwa alert kwa kitu kikubwa.
Akatoa hitimisho lipi kuepuka hali hiyo mkuu?Dokta moja aliwahi kuniambia muwasho baada ya kuoga inaweza sababishwa na kujisugua na madodoki au kujifufa na taulo mpaka panatokea michubuko midogo sana isiyoonekana kwa macho...
Sent using Jamii Forums mobile app