Hili Ni Jeshi Letu? Mikocheni Henken Leo Mchana

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Mikocheni Henken.JPG
Nani Sijui wanamlinda gari na uniform kidogo zinatia utata.
 
wako kweney kutengeneza movie siuji au labda ndio zile taarifa kuwa nchi imeuzwa tayari kwa wageni, kaangalie benki labda utakuta wamekuwekea balance yako
 
hivi mnajua kuwa ofisi za uhamiaji makao makuu Kurasini zinalindwa na Ultimate Security!!! ...we shangaa tu hayo, na bado!
 
Ultmante Security hawavai hivi kama vile wanaenda kwenye mapambano...hawa ni kama trained military kabisa...ukiwaangalia...au FFU wamebadilishiwa uniform?
 
Inashangaza sana kuona picha kama hizi,tunakoelekea hivi sasa ni mtu kuwa na jeshi lake nyumbani kwake na itakuwa si rahisi kumuingilia wala kufanya lolote.
 
Hao ni quick reaction force kitengo cha JWTZ ambao ni wataalamu wa Explosives si unaona hata nguo zao walizovaa, kuwaprotect na milipuko.
kama ni wajeshi mbona wana gari la private company au jeshi lishauzwa?
 
Kampuni mpya ya ulinzi imeajiri ma bouncer pekee!!inatisha wamevalia kama wanaenda kutegua mabomu!
 
Back
Top Bottom