google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
Kwa upande wangu mimi ni mzima wa afya tele, tena nikizidi kumwomba MUNGU azidi kunijalia mimi uzima pamoja na wana jamvi wenzangu.
Ufuatao ni mtazamo wangu then tutachangia kwa pamoja ili yamkini tupunguze au kumaliza kabisa ili tatizo, please be serious kwani tatizo la nguvu za kiume kila siku linasikika kwenye majukwaa mengi pamoja na ushoga kwa wanaume wengi hapa mjini.
Sababu ya ujumbe huu ni kutaka kuwakumbusha wenzangu kuwa kwa kweli kwa namna moja au nyingine wanaume tumekumbwa na tatizo kubwa sana la kupoteza asili na ujinsia wetu kama ifuatavyo;
1) Utasikia mara ooooh me nikipiga kimoja chali naomba ushauri wetu wanajamvi
2) Mara baada ya kupiga kimoja jogoo hakuitika tena mpaka siku nyingine
3) Waganga kutoka ufipa, kilosa, nigeria wanaodai wanatibu nguvu za kiume wanatufanya kutwa tunazunguka kila mahali kuwatafuta mpaka wengine wamepata marafiki waganga.
4) Wataalamu wa tiba mbadala nao wamefanya ajira kupitia tatizo hili.
5) Wanawake nao hawashikiki sababu ya kutafuta mwanaume mwenye uwezo na sio handsome kama zamani, huku wakiwapa majina mengi wasio na uwezo.
6) Wanaume tumegeuka mashabiki kwamba tunaweza kazi ila tukipewa kitumbua chali mpaka mwenye kitumbua anakuonea huruma.
7) Wanawake wamekuwa wakarimu sana kutua papuchi ila wanaume wanazikimbia na kukimbilia ushoga, imagine aliyekuwa anakula anataka kuliwa kweli inasikitisha
N.B
TUNAJUA KUWA WANAWAKE NI WENGI MARA KARIBU TANO UKILINGANISHA IDADI YA WANAUME, SASA JE ! HAWA WANAOSHINDWA KAZI NA KUJIUNGA NA WANAWAKE NANI ATAWAHUDUMIA WOTE ?
Baada ya kutafakari kwa mda sana moyo wangu uliona huruma kwa wale wote wanaoteseka na jambo hili hivyo nikaona ni vyema tukumbushane ili tulitafakari wote kama ma great thinker how to solve or to minimize it.
Hata hivyo kuna visababishi vingi vinavyo saidia kuongeza tatizo hili kwa wengi ambao hawajali ingawa wanafahamu kama vile
Wanajamvi tushauriane kwa pamoja ili kunusuru wenzetu.

- Mlo wa chipsi zilizokaangwa na wafuta meusi sababu ya kukwepa gharama
- vyakula vya makemikali kila kukicha