Hili ni funzo jamani

siku zote kupata usichotaka ni rahisi mapenzi hayana mwenyewe
 
vp chupi alikuvua?
 
na najua ushazeeka hutamaniki
 
Very true achen aliepiga goti na kuomba mungu kamsikia kilio chake
hawa dada zetu wa zile nyumba zenye ukoka mwing na lami kwa.mbele wana maringo sana
Hahahaha etii ukoka mwingi kwa mbelee...wanajionaga malaika eeh
Very true achen aliepiga goti na kuomba mungu kamsikia kilio chake
hawa dada zetu wa zile nyumba zenye ukoka mwing na lami kwa.mbele wana maringo sana
hahahaha eti wenye ukoka mwingi na lami kwa mbele haha ..wanajionaga malaika nin
 
Maisha ni mchezo see saw ukibebwa bebeka, kitu hujulikana thamani yake kinapotoweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…