Hili ni Aguko Kubwa kwa CCM!

Hili ni Aguko Kubwa kwa CCM!

Taarifa sahihi ni kwamba Iseke CHADEMA ndo imeshinda Iseke iko jimbo la Tundu Lissu

Nimekusoma Mkuu, Ngoja nijipongeze maana naona watani zangu wanaamka kwa spidi ya mwanga. Bado sisi kwetu Iramba kwa nduli chemba ndio tunatia aibu.
 
Sawasawa mkuu,miaka 50 wamepewa wameichezea sasa wanataka watanzania tufanye nini?,ni kuwapiga chini tu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
si kweli kuwa CCM wanashinda vijijini ,ila Vijjini uwa wanapata nafasi ya kuiba kura kwa urahisi na kuwarubuni mawakala kwa urahisi kwa ajili ya njaa zao, kwani huko vijijini hakuna ulinzi mathubuti kama mjini.
 
Saba kwa nane, hakika chama tawala kimeshikwa pabaya
 
Back
Top Bottom