Nimekuwa natafuta pia kutaka kujua matokeo yakoje hasa na nimeambulia habari ifuatayo ambayo labda inatoa mwanga fulani:
Hadi hivi sasa inaonekana CHADEMA imeinyanganya CCM viti kadhaa vya Udiwani na kutuma ujumbe kuwa upepo umebadilika. Baadhi ya Kata ambazo matokeo yake yameshajulikana ni kama hivi:
1. Makuyuni, Monduli (ARUSHA) CCM
2. Minepa, Ulanga (MOROGORO) CCM
3. Bashnet, Babati (MANYARA)- CHADEMA
4. Nyampulikano, Sengerema (MWANZA) CHADEMA
5. Masanze, Kilosa (MOROGORO) CCM
6. Ifakara, Ifakara (MOROGORO) CCM
7. Tingeni, Muheza (TANGA) CCM
8. Genge, Muheza (TANGA) CCM
9. Iyela, Mbeya (MBEYA) CHADEMA
10. Iseke, Singida (SINGIDA) CCM
11. Manchira, Serengeti (MARA) CCM
Habari hii nimeitoa kwenye blogu ya Mwanakijiji.
Ifakara CHADEMA diwani wake ni kijana Peter Lijuakali
Kata ni Nyampulukano- sengerema, Iyela-Mbeya, Ifakara mjini, Lugata, Dongobeshi-Mbulu, Bashnet -Babati, na Iseke- Singida hizo zimechukuliwa na CHADEMA, katika hizo zilizokuwa za CHADEMA mwanzo ni ile ya Mbulu na Sengerema , wametetea kata zao na Kuchukua hizo nyingine 5 zilizokuwa zinashikiriwa na ccm
Sehemu zote ambazo CCM wameshinda ni kwa sababu daftari la wapiga kura halikuboreshwa. Kama daftari la wapiga kura lingeboreshwa tungekuwa tunaongea mambo mengine hapa. Kwa sasa CCM wanapumulia mashine. Na wenye akili ndani ya CCM wanajua kila kitu kinachowakabili huko mbele ila majukwaani wanajifariji kuwa wamebakiza Last Kick of the dying HorseMkuu hii kazi sio ndogo kwani hata kidogo kuwanyanganya kata tano na kutetea 2 sema tu kuna Mikoa bado wamelala
ila CCM wanazidi kujichimbia kaburi la 2015.
kata ni nyampulukano- sengerema, iyela-mbeya, ifakara mjini, lugata, dongobeshi-mbulu, bashnet -babati, na iseke- singida hizo zimechukuliwa na chadema, katika hizo zilizokuwa za chadema mwanzo ni ile ya mbulu na sengerema , wametetea kata zao na kuchukua hizo nyingine 5 zilizokuwa zinashikiriwa na ccm
Tulio wengi tunajua kuwa kulikuwa na uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 26 ambapo kata 4 za Arusha mjini uchaguzi huo ulihairishwa kufanyika kutokana na mlipuko wa bomu lililo pelekea watu wawili kufariki na wengine 70 kujeruhiwa.
Mimi katika uchaguzi huo nimeliona anguko la CCM katika maeneo yafuatayo:-
1. Chama kikongwe kinachoshika dola kimeweza kupoteza tena kata 5 ambazo kilikuwa kinazishikilia zimechukuliwa na CHADEMA huku CHADEMA wakitetea 2 za kwao walizokuwa wanazishikilia, hilo kwao ccm ni anguko, hawapandi bali wanashuka
2. Anguko la pili na baya zaidi ni lile la kuporomoka kwa maadili , sasa maadili hayapo tena ndani ya ccm, watu wanaropoka ovyo ovyo na kutukana matusi badala ya kujenga hoja kwa kueneza sera za chama chao, pia wameonekana wakitoa rushwa wa
Kata ni Nyampulukano- sengerema, Iyela-Mbeya, Ifakara mjini, Lugata, Dongobeshi-Mbulu, Bashnet -Babati, na Iseke- Singida hizo zimechukuliwa na CHADEMA, katika hizo zilizokuwa za CHADEMA mwanzo ni ile ya Mbulu na Sengerema , wametetea kata zao na Kuchukua hizo nyingine 5 zilizokuwa zinashikiriwa na ccmNimekuwa natafuta pia kutaka kujua matokeo yakoje hasa na nimeambulia habari ifuatayo ambayo labda inatoa mwanga fulani:
Hadi hivi sasa inaonekana CHADEMA imeinyang'anya CCM viti kadhaa vya Udiwani na kutuma ujumbe kuwa ‘upepo umebadilika'. Baadhi ya Kata ambazo matokeo yake yameshajulikana ni kama hivi:
1. Makuyuni, Monduli (ARUSHA) – CCM
2. Minepa, Ulanga (MOROGORO) – CCM
3. Bashnet, Babati (MANYARA)- CHADEMA
4. Nyampulikano, Sengerema (MWANZA) – CHADEMA
5. Masanze, Kilosa (MOROGORO) – CCM
6. Ifakara, Ifakara (MOROGORO) – CCM
7. Tingeni, Muheza (TANGA) – CCM
8. Genge, Muheza (TANGA) – CCM
9. Iyela, Mbeya (MBEYA) – CHADEMA
10. Iseke, Singida (SINGIDA) – CCM
11. Manchira, Serengeti (MARA) – CCM
Habari hii nimeitoa kwenye blogu ya Mwanakijiji.
Kata ni Nyampulukano- sengerema, Iyela-Mbeya, Ifakara mjini, Lugata, Dongobeshi-Mbulu, Bashnet -Babati, na Iseke- Singida hizo zimechukuliwa na CHADEMA, katika hizo zilizokuwa za CHADEMA mwanzo ni ile ya Mbulu na Sengerema , wametetea kata zao na Kuchukua hizo nyingine 5 zilizokuwa zinashikiriwa na ccm
1. Makuyuni, Monduli (ARUSHA) CCM
2. Minepa, Ulanga (MOROGORO) CCM
3. Bashnet, Babati (MANYARA)- CHADEMA
4. Nyampulikano, Sengerema (MWANZA) CHADEMA
5. Masanze, Kilosa (MOROGORO) CCM
6. Ifakara, Ifakara (MOROGORO) CCM
7. Tingeni, Muheza (TANGA) CCM
8. Genge, Muheza (TANGA) CCM
9. Iyela, Mbeya (MBEYA) CHADEMA
10. Iseke, Singida (SINGIDA) CCM
11. Manchira, Serengeti (MARA) CCM
12. Iseke ,Singida - CHADEMA
13. Ifakara mjini, Ifakara -CHADEMA
14. Dongobeshi, Mbulu -CHADEMA
15. Lungata - CHADEMA
10. Iseke, Singida (SINGIDA) – CCM
12. Iseke ,Singida - CHADEMA
Hapa mwenye taarifa sahihi atujuze, haija kaa sawa. Kuna post zinasema CDM tumeshinda na zingine ccm wameshinda.