Hili ndo neno "I love u" kwa kikurya

Hili ndo neno "I love u" kwa kikurya

mwanza yote yangu

Senior Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
141
Reaction score
30
Ngumi, teke, mtama,kichwa, panga, shoka baada ya hapo mwanamke uwe umekufa au umepona unatakiwa useme na kesho tena Baba Bhoke unipige zaidi ya hivi.
 
Nkuhanchiri mmeiga wane,simple like that hahahhahah...
 
Huu ni ujinga uliopitiliza.
Muweka mada hujajipanga.
Alikuambia nan au unakulupuka 2 kupost ujinga..!!?
In short km huna cha kupost ka kmya.
Cc wakurya ni watu wastarab sana acha uzushi wa kijinga.
 
Huu ni ujinga uliopitiliza.
Muweka mada hujajipanga.
Alikuambia nan au unakulupuka 2 kupost ujinga..!!?
In short km huna cha kupost ka kmya.
Cc wakurya ni watu wastarab sana acha uzushi wa kijinga.

Chacha Maginga Ukweri unauna tata
 
Cku hiz mambo ya kupgana hatuna..
Full kushow love.
Ht wanawake wanatupenda sana coz hatulembi ni kazi tuuu
 
Cku hiz mambo ya kupgana hatuna..
Full kushow love.
Ht wanawake wanatupenda sana coz hatulembi ni kazi tuuu

Hahaaa haaaa , yani ni full mama ghati kura hii wenzako dar salaama wana kura hii... Hapo ni mkurya katoka dar kanyonywa pipe sasa anamfundisha mke wake
 
Mleta mada kila ukielekezwa ukweli we unazidi kupotosha.Omba mods wahamishie uzi pale jokes,aseee!
 
Huu ni ujinga uliopitiliza.
Muweka mada hujajipanga.
Alikuambia nan au unakulupuka 2 kupost ujinga..!!?
In short km huna cha kupost ka kmya.
Cc wakurya ni watu wastarab sana acha uzushi wa kijinga.

Andika lugha fasihi hivi vifupisho vinatupa mashaka kama .............................shule!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom