Hili ndilo limbwata la kumteka mwanaume

Sisi wanaume tunataka mariam biriani ukimpa tu mume wako biriani apo umemmaliza
 
22. Marufuku kuhoji chochote kinachomhusu mumeo, hata akikurudia asubuhi mpokee kwa mabusu motomoto, ukigundua ana kamchepuko huruhusiwi kukasirika sanasana mtie moyo kuwa unaelewa kwa nini anachepuka na umuombe radhi kwa kufuatilia maisha yake binafsi.
Niendelee?
You nailed it ha ha haa!
 
ILI KUMTEKA MUMEO FANYA HAYA

1. Muite kwa jina lake la utani, jina lile analolipenda sana.

2. Muache atumie mamlaka yake kama
kichwa cha nyumba.

3. Usimcheke akiwa ameumizwa na
jambo fulani.

4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira.
Unaweza ukaenda kumuomba msamaha
na kumueleza kwanini ulimkosea pale
hasira zinapokua zimemuisha.

5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha
pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe.

6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla
ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya
hivyo.

7. Waheshimu wazazi wake. 8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.

9. Msuprise kwa chakula akipendacho,
hasa kipindi kile anapokuwa na msongo
wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.

10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie
chakula mume wako ukiwa nyumbani.

11. Mkaribishe kwa kumkumbatia
anapotoka kwenye mihangaiko yake,Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.

12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa
vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka
wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.

13. Mpigie simu na umwambie kwamba
unampenda na umemkumbuka

14. Muamshe asubuhi na umpe romance
kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe
na hata jishughulisha na wanawake
wengine siku hiyo.

15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa
hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.

16. Mwambie ni kiasi gani una bahati
kuwa nae kama mume wako.

17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.

18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu
wako katika maisha yako.

19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi
mikononi mwa Mungu.

20. Tengenezeni utaratibu wa familia
nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja
kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Mungu abariki ndoa yako.

Copied from
Didas Tumaini
Jf member
Yote haya ni mapenzi ya kuigiza, mimi sihitaji kukumbatiwa sijui kutumiwa mameseji kwamba napendwa kwasababu tumeoana kwakua tunapendana.

Tabia za wanawake kuwatumia waume zao meseji za kimahaba ni tabia wanazozitoa kwa marafiki wabaya na zaidi hujifunza hadi vitu vya ovyo.

Ukiniheshimu inatosha, siwezi kufurahia kutumiwa vimeseji vya kimapenzi kutoka kwa mwenza wangu kwasababu anaweza kuwa anatumiwa na wapuuzi kisha kuifanya edit na kunitumia mimi.

Nipikie chakula kwa wakati,niheshimu kama mume pia lea watoto katika maadili nitakupenda sana ila vitu vilivyo andikwa hapo juu naona vimejaa unafiki na roho ya usaliti muda wowote.

Mwanamke epukeni kuwakaripia au kuwadharau waume zenu,amini nawaambia hata ukikosea kidogo atajua ni bahati mbaya na mapenzi hayatapungua.

Epukeni kuwalimit kwenye muda wa kurudi nyumbani,wanawake wengi huwa mnakosea sana. Mume akitoka kazini unataka arudi nyumbani atizamane nawewe kama kioo na msusi ni ujinga.

Atapata muda wapi wa kutafuta kipato kingine nje ya kazi? Mume akichelewa kurudi mwanamke unavimba mdomo kama umemeza nyama kubwa.

Utafutaji wa pesa kwa wanaume hauangalii muda kama mnavyotaka wanawake mlio wengi,unataka kumfungia mumeo kama kuku alafu hapo hapo unataka uvae,ule,usuke,mjenge,mfungue biashara au mnunue usafiri.

Pesa itatoka wapi bila mwanaume kuwa huru kufanya shughuli zake?walio zoea zinaa wao huwazia kumlazimisha mwanaume abakie nyumbani kwa njia mbali mbali.

Wengine ndio hujifanya kumpa mapenzi ili muda wote awaze nyumbani na akishindwa basi ataingia kwenye uchawi ampige manyanga bin ndumba ili Limbwata likikaa sawa mume anatamani hadi kunya karibu na mwanamke.

Mwanaume anakua kichaa kazi hawezi kufanya kwasababu akili zake zote zimehamia kamati ya chini kwa mkewe,ni mambo ya aibu.


Ebu niishie hapa nisije nikaongea mengi mabaya ambayo wanawake wanayafanya eti ili apendwe na mume, achilia mbali takamwili mnazotukewea kwenye limbwata.
 
Haya yanawezekana kama utaacha pochi nene nyumbani
kwa ambae hana mapenzi na wewe sawa sie tukipenda hatuangalii una nini bora furaha na amani iwepo kwa upande wangu 6 yrs ya ndoa na tulianza 1 ukiachana na vi slay kwin vya siku hizi
 
kwa ambae hana mapenzi na wewe sawa sie tukipenda hatuangalii una nini bora furaha na amani iwepo kwa upande wangu 6 yrs ya ndoa na tulianza 1 ukiachana na vi slay kwin vya siku hizi
Hongeraa sanaa mkuu kwa hatua mliofikiaaa
Tatzo n kwa wanawake wa sa hvii mapenz yao yapo Usoni na kama una Mapene ustigemee mapenz ya Dhati .. Yaan ambao bdo tunatafta tuna shughuli sanaa...

#Is the game of risk#
 
ILI KUMTEKA MUMEO FANYA HAYA

1. Muite kwa jina lake la utani, jina lile analolipenda sana.

2. Muache atumie mamlaka yake kama
kichwa cha nyumba.

3. Usimcheke akiwa ameumizwa na
jambo fulani.

4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira.
Unaweza ukaenda kumuomba msamaha
na kumueleza kwanini ulimkosea pale
hasira zinapokua zimemuisha.

5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha
pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe.

6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla
ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya
hivyo.

7. Waheshimu wazazi wake. 8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.

9. Msuprise kwa chakula akipendacho,
hasa kipindi kile anapokuwa na msongo
wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.

10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie
chakula mume wako ukiwa nyumbani.

11. Mkaribishe kwa kumkumbatia
anapotoka kwenye mihangaiko yake,Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.

12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa
vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka
wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.

13. Mpigie simu na umwambie kwamba
unampenda na umemkumbuka

14. Muamshe asubuhi na umpe romance
kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe
na hata jishughulisha na wanawake
wengine siku hiyo.

15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa
hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.

16. Mwambie ni kiasi gani una bahati
kuwa nae kama mume wako.

17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.

18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu
wako katika maisha yako.

19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi
mikononi mwa Mungu.

20. Tengenezeni utaratibu wa familia
nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja
kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Mungu abariki ndoa yako.

Copied from
Didas Tumaini
Jf member
Je sisi ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom