tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Mpaka sasa ni siri kufahamu ni aina gani ya gari hili, majarida na waandishi wa habari bado hawajapewa ruhusa ya kutangaza au kujionea kwa macho ni aina gani ya gari hilo,gari hilo ambalo limetengenezwa kwa dhahabu tupu limeonyesha maendeleo ya tecnology na kufuru ya mwanadamu katika dunia hii, ni mtu mmoja tu kutoka mji wa doha uko qatar ndio ameonyesha uwezo wa kulinunua gari hilo,dhahabu iliopo katika gari hilo ni kila sehemu mpaka bomba la moshi,matairi na vioo ndio sio dhahabu imeelezwa ndinga iyo inauzwa kati ya usd milion 60 na 70 tatizo si ununuzi wake tatizo ni usalama wake wakati utakapo kuwa nalo barabarani! Angalia pichani