kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Nina tatizo sijui litakuwa tatizo gani:
Kuna kitu Chini ya kifua changu karibu titi la upande wa kushoto kinacheza cheza mara nahisi kama kinavimba nikiwa na tembea sisikii chochote nikiwa nimesimama kunaanza kucheza cheza kinanipa wasiwasi sijui litakuwa tatizo gani