Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 292
- 432
Nimeingia kwenye mahusiano na punyeto miaka mingi sasa. Ingawa inasaidia kubana matumizi lakini kwa sasa siihitaji kwa vile sina sababu ya kuendelea nayo. Nina demu asiependa hela, sasa nataka kuacha punyeto tena nilichukia lakini nashindwa kulitema hili dubwana.