Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
STORY ZA WASICHANA KTK CM,
Mary...Hallow mpenziii
Lily...Niambie my dear
Mary...Pouwa za siku jamani
Lily...nzuri shoga wangu wa ukweli
Mary...jioni nakuja kwako tule na
Kunywa japo wine mpz,
Lily...nakusubiri kwa hamu mpenziii
BAADA YA KUKATA CM...KILA MMOJA ANAWAZA
Lily...huyu mchawi wa kike leo anakuja kwangu wala
hanikuti mshenzy tu.
Mary....hahahahaaaa uwiiiii huyu kahaba eti nakusubiri
kwa hamuuu!!nsni aende mpuuzi!!!.
STORY ZA WAKAKA KATIKA SIMU.
John.....Niaje we mbwaa
Sam....poa kichaa wanguuu
John...upo wapi mpumbavu wewe?
Sam....niko home, we ---- unapatikana wapi?
John...baadae nakuibukia jsmbazi langu tukale bata
sehemu.
Sam....poa we boya nakusubiria kichas wangu.
BAADA YA KUKATA CM KILA MMOJA ANAWAZA.
John....baadae nikakae na mwanangu Sam long time
sijamuona dah!
Sam.....John bwana mtu wangu sana akiwa na pesa
lazima anitafute mwanaeee dah!namkubali sana.
TOFAUTI
Bidada wengi katika maongezi yao unaweza fikiri wanapendana sana but ni wanafiki kweli kweli ndani ya mioyo yao.
Kinakaka kwa maongezi yao unaweza kudhani hawapendani lakini wanapendana sana.
Swali kwa kufikiri kwako kuna ukweli ndani yake.karibuni.