Hili likoje?

Hili likoje?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,259
Reaction score
118
Heshima zenu JF!
Kwa wale waliopitia usafiri wa mijini...au wanaendelea nao.
Nimekua naona hizi adha za Dala dala,vi-ford,express... Ukipenda ziite vyovyote ujuavyo...ni haya mabasi yetu ya usafiri mijini au vijijini.
Abiria wanachukulia nje ya vituo kwa kubembelezwa.
Kushushwa unaambiwa kituoni halijafika!
Wakt mwingine konda anakuuliza hapo mbele umemuona askari wa barabarani?...utajibu : sijamuona.
Utachukuliwa.
Hapa ni tatizo... je kushushwa iwe ni popote?
Kama ni msaada wa kubebwa...iweje isiwe msaada pia wakt wa kushushwa?

Kuna umuhim sheria iangalie unafuu kwa abiria? Au hali hiyo iendelee ?
Kama umeona kero nyingine tuwekee....
Nawasilisha!
 
Hii ndiyo Tanzania,sheria inatumika kwa muda mfupi halafu ina exposed.
 
Back
Top Bottom