Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Kitu kikishaingia ukipinga lazima uonekane mshamba,ila siungi mkono hoja ya kunyolewa huko na mtu mwingine zaidi ya mke/mume wako.
tendo hili lilikuwa linafanyika wakati ndoa changa ikiwa tamu kama machungwa ya Rufiji kwa sasa mhn! labda siku umeuza nyumba ya urithi ya babu yako na ukiwa wewe ndiye mrithi pekee!
 
Umekuwa mkali kweli! Nikupangie maisha best nina kuhusu mie,? Hatujuani wala usipasuke wangu kuwa na amani kila mtu anastarehe! Nimetoa maoni yangu kama yanavyotolewa na wengine. Wewe fanya yako dada

ulitumwa uniquote? ungetoa maoni yako bila kuniquote au uliambiwa nahitaji maoni yako? acha kiherehera na maisha ya watu!!!

wewe ndiyo ufanye yako maana umedandia comment yangu!

sijawa mkali na wala sipasuki ila sipendi watu mnaojifanya mnajua kumbe hamjui ukweli, bye ngoja niendelee kujisosomola Lunch yangu.
 
Sonsomola tu ila usipaliwe tu ukatupia lawama kwangu
 
Yani somebody ka introduce kazi yake ya kunyoa ayo makwapa kwa moyo wake wote na anaenjoy doing his or her job ww unamsema kwa kazi yake hujawai mpa ata bolilo la azam akanywee chai afu unampondea kazi yake , wewe uyo uyo uje uwaseme watu wako jobless dah BINADAMU BWANA
 
walimwengu hatuna jema. Ukiwa jobless watakusema. Ukiwa idle utasemwa. ukitumia akili kujitafutia rizki utaambiwa maneno…..sasa hata tunapeana ushauri wa kuwa na kazi za maadili. Mimi nadhani watu walioenda shule wakawa kwenye mfumo rasmi wa ajira hawajui ugumu wa maisha kitaa especially kwa wale ambao hawana kazi kwenye mfumo rasmi.
 
Mimi nafanya local ya nta ya sukari. Hiyo nyingine inakuwa kama ni gundi hivi unaipaka unaweka kitambaa juu unabandua. Inang'oa nywele from the root inaanza kuota upya tofauti na uki shave na wembe au shaving creams hizi nywele haioti upya inaendelea pale ulipoikatia na inakuwa kali inatoboa toboa.

Ila ukifanya wax nywele haichomozi kabisa hadi wiki nne hadi 6 na inakuwa laini.
Mimi hapa nakuomba training nijue jinsi ya kuandaa nna hali mbaya si nzuri kwakwel.
 
Back
Top Bottom