Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Ila wax ya kwenye papuchi na kwapa inauma jamani. Bora ya bikini line au vinyweleo.
U done did that ?.. Dar hii hii ?...wanyoaji wakiume ?...unawezaje mwanaume kuvumilia pussy umeiona ivi unaichezea ?..daah noma..
 
Karibuni nyote kwa huduma ya Waxing!
Kunyoa kwa kutumia Aloevera Wax ni Tsh 15,000 na kwa kutumia Diamond Wax ni Tsh 70,000
Nazungumza kama mmoja wa wanyoaji
Mimi natakusaidia bure, wateja wakikuzidia niite nikusaidie hela utachukua wewe mimi kazi yangu kunyonyoa mbususu
 
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!

Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia

Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.

Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.

Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Ni jambo la ovyo sana.

Shemeji yenu ameanza huo mchezo eti kila jumamosi anaenda kunyolewa mavuzi.Inanikera

Je hili ni zoezi kwa maisha yote? Je vipi usafi wa hilo zoezi? Hakuna risk ya magonjwa?
Ni kweli wanaenda kunyoa mavuzi au kuna jambo lao wakifika huko?

Inakera!!!!
 
Mtoa mada acha upotoshaji waxing ni moja ya hair removal techniques . Na watoa huduma wanafanya kazi yao vizuri tu
Na nywele zinachelewa kukua ndio sababu watu wanaipenda zaidi though it is painful especially bikini waxing

Huko spa ulishasikia wananyolewa kwa kusuguliwa???

Binafsi i prefer waxing na ninafanya underarms , bikini , full arms and full legs
Duh sasa kama tunapenda hairty K
 
Nakubaliana na wewe kuwa linaweza kuwa jambo linalohitaji kuangaliwa vyema na mamlaka.

Ila mwanamke aliyefanyiwa waxing ana raha zake, that softness brings awesome impression.....
 
62 Reactions
Reply
Back
Top Bottom