Hili la shule binafsi linanishangaza

Hili la shule binafsi linanishangaza

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Nimefarijika baada ya kusikia serikali imeliona hili la shule za private.shule hizi inatakiwa zidhibitiwe na ikibidi ziundiwe ewura yao.maana ada wanapandisha kila kukicha.kuchukua fomu ya kujiunga na shule ni zaidi ya 20000 wakati gharama ya karatasi moja haifiki senti 70 na kuchapa haifiki 300.iweje fomu itolewe kwa elfu ishirini au thelathini?
 
umelazimishwa kusomesha huko? Si mna zenu za Kata? Msitupangie bei siye tuna ela
 
Nimefarijika baada ya kusikia serikali imeliona hili la shule za private.shule hizi inatakiwa zidhibitiwe na ikibidi ziundiwe ewura yao.maana ada wanapandisha kila kukicha.kuchukua fomu ya kujiunga na shule ni zaidi ya 20000 wakati gharama ya karatasi moja haifiki senti 70 na kuchapa haifiki 300.iweje fomu itolewe kwa elfu ishirini au thelathini?
Unategemea nini wakati shule hizo zinamilikiwa na akina Anna Tibaijuka, Edward Lowassa, Anna Kilango na wengineo ambao ndio watunga sheria? Nani atasikiliza kilio chako ndugu!!!
 
Kuna gharama za kuchapa mitihani, kusaisha na kusimamia kwa wasimamizi au unadhani nayo centi 70
 
Back
Top Bottom