Hakuna sheria ya kulazimisha kuhudhuria mbio za mwenge kwa mtumishi wa umma, zaidi zaidi huyo DED atakufanyia vitimbi ktk utendaji wako wa kazi mpaka utaomba kiama kije tu. Wanasheria wanasema unaweza fukuzwa kazi kwa wewe mwenyewe kuandika barua ya kuacha kazi, say "constructive dismissal"