kwa hiyo hata wafagizi ,wapika chai watakuwa polisi na wanajeshi ,Mkuu wa kaya hapa anatakiwa afikirie nje ya boxLeo Mh.Rais ametamka kuwa watumishi Raia hawatakiwi Majeshini, lakini je ametumia muda kulifikiria hata kuomba kushauriwa na kujiuliza chimbuko la majeshi kuwa na Watumishi Raia?
Kwa uelewa wangu Mdogo nadhani kuwekwa Watumishi Raia kwenye Majeshi ilikuwa ni kuwadhibiti hawa wanaojiita afande hususani katika Amri zao.
Mfano mkubwa wa taasisi ya Jeshi mathalani RPC anamfuata Mhasibu na kumwambia lipa haya malipo, na kanuni ya Jeshi ni Tekeleza kwanza ndiyo hoji baadaye.
Sasa kwa upande wa Watumishi Raia walikuwa na nafasi ya kuhoji anachoona hakielewi, Askari huwa hawana hiyo nafasi.
Kwa maoni yangu anawaruhusu kwenda kufanya madudu ambayo wenzao waliyomtangulia Rais waliyaona hayo na ndiyo maana waliweka watumishi Raia humo kwenye majeshi.
Na akiwanyanyasa saana hawa Askari kiukweli anajua madhara yake.
Hata hivyo tunawakaribisha huku kwingine watakaoondolewa huko Majeshini. Karibuni.
Hiyo tafakari yako ilishafanyiwa kazi zamani sana
Sio lazima ila ilihitaji kujibiwaKwani ilikuwa ni lazima ujibu???
Leo Mh.Rais ametamka kuwa watumishi Raia hawatakiwi Majeshini, lakini je ametumia muda kulifikiria hata kuomba kushauriwa na kujiuliza chimbuko la majeshi kuwa na Watumishi Raia?
Kwa uelewa wangu Mdogo nadhani kuwekwa Watumishi Raia kwenye Majeshi ilikuwa ni kuwadhibiti hawa wanaojiita afande hususani katika Amri zao.
Mfano mkubwa wa taasisi ya Jeshi mathalani RPC anamfuata Mhasibu na kumwambia lipa haya malipo, na kanuni ya Jeshi ni Tekeleza kwanza ndiyo hoji baadaye.
Sasa kwa upande wa Watumishi Raia walikuwa na nafasi ya kuhoji anachoona hakielewi, Askari huwa hawana hiyo nafasi.
Kwa maoni yangu anawaruhusu kwenda kufanya madudu ambayo wenzao waliyomtangulia Rais waliyaona hayo na ndiyo maana waliweka watumishi Raia humo kwenye majeshi.
Na akiwanyanyasa saana hawa Askari kiukweli anajua madhara yake.
Hata hivyo tunawakaribisha huku kwingine watakaoondolewa huko Majeshini. Karibuni.
Wapo askari kibao tu wenye taaluma hizo acheni kupiga ramli za kijingaWatapata shida sana kwenye idara za Uhasibu na IT.
ningepata yai kama hili ningejidai sana ila ndio hivyo ticha wangu wa yai baada ya mimi kufika form four nikagundua najua zaidi yakeI'm just watching the way events unfold. I'm sceptical and curious. All in all I'm dumb founded as I see things turn out
Ever heard somewhere that the guy is a psychiatric case? Time is telling what has never been toldkwa hiyo hata wafagizi ,wapika chai watakuwa polisi na wanajeshi ,Mkuu wa kaya hapa anatakiwa afikirie nje ya box