Hili la kumchangia Tundu Lissu linakwama wapi? Kuondoka kwa Lowassa kwatajwa

Unasemea Lissu yupi? Kama ni Mheshimiwa Tundu Antipasi Lissu the Brightest Parliamentarian in the Bunge of Tanzania, sio kweli. Nina ushahidi wa kuingiziwa fedha pale Azikiwe Branch more than 10M wiki iliyopita.

BTW nasikia hata Spika hatimaye kaachia mshahara wake.
Mleta mada anaweweseka tu

In God we trust
 
Uzushi mtupu, umepewa taarifa sizo, itabidi tuhoji umri wako wa kuzaliwa. Kwani asingekuwa lowassa kugombea chadema wasingepata kura?


Sent using Nokia 6
 
Sie group letu whatsapp tunamchangia 5m kila mwezi kwa zaidi ya mwaka sasa. Na ninafahamu yako magroup kama hayo mengi yanamchangia.
Hakuna tulipokwama kama mtoa mada anavyojaribu kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahidi kipindi hiki cha KWARESMA kumrudia Mungu kwa kutubu hizi Dhambi za Chuki, Hasira na Wivu dhidi ya waliokuwa wenzio.

Kumbuka kuwa TABIA YA DHAMBI NI KUFUNGA RIZIKI.

Katubu dhambi, upata Baraka mbele za Mungu.
Ukapate zaidi ya hapo ulipo, usiridhike ulipofikia.
Kumbuka bado RIZIKI yako ipo kubwa zaidi ya hapo ulipofikia.
Katubu.
 
Back
Top Bottom