Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,608
- 93,384
Wana jukwaa,
Kuna tabia moja sugu na ya muda mrefu nimeigunduwa kutoka kwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete,
Imekuwa ni kawaida kiitifaki kila mtu mwenye nafasi fulani huanza kuitwa kwaile tittle yake hasa wakati mtu anayemtamka mwenzake akiwa ni mtu wa itifaki,
Lakini kwa Rais mstaafu kwa sababu ni mtu wa pwani basi amekuwa na figisu zake za kimyakimya kuonesha kiburi na dharau kwa wengine bila wengi kumgunduwa.
Kwa mfano sidhani kama kuna siku huyu Rais mstaafu aliwahi kumtamka Baba wa Taifa kwa title yake, mara nyingi au zote umtamka kama Mzee Nyerere.
Kilichonisukuma kuandika thread hii leo tena kwenye kikao cha Nec nimemsikia akimwita Rais Magufuri kwa jina la ndugu Rais badala ya mheshimiwa Rais.
Kwa mtu asiyeijuwa vizuri nchi hii ilikotoka hawezi kuelewa mantiki ya thread hii ila kwa waelewa nachokoza mada tu je Kikwete anajuwa vyema na anamaanisha anachokitamka au Coincidence tu?
Kwa wale wanaodandiaga tu mada nakuanza kuharisha bila kuelewa content ni kwamba turudi enzi zetu ambapo kiongozi aliitwa ndugu na siyo mtukufu wala mheshimiwa?