Easyway
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 2,606
- 3,704
Wanawaiga chadema , ndugu Lowasa alikuwa mgombea pekee wa urais huku akiwa na uanachama wa siku mbili ndani ya Chadema.,mpaka anagombea urais alikuwa hajawahi kuiona katiba ya chadema na wala Sera ya chadema alikuwa haifahamu.Mgombea uenyekiti wa sisiemu hana mpinzani baada ya wanachama kupigwa mkwara kuwa atakayejitokeza kumpinga atafukuzwa uanachama! Imekaaje hiyo?