Hili la Kikwete kwa Baba wa Taifa na kwa Rais Magufuli ni by coincidence au kiburi tu?

Tatizo lako una mihemko na kiherehere, unakurupuka tu without know how, hichi ulichokiandika una uhakika mimi sijakiandika kabla yako kwenye uzi huu?

Hii ndio shida ya ujuwaji mwingi, mtu akianza kusoma post ya kwa mpaka hii atashindwa hata kukushanga!!

Nnaona yamekuingia na hauna zaidi.
 
Nyererephobia at her level best of hatred, nikikuletea hapa ushaidi wa Video clip Mzee Kikwete akimuita Pengo Baba Askofu na Sheikh akimuita Askofu kwa kuanza na neno baba Askofu, unaliahidi nini jukwaa hili hili tukate mzizi wa fitna na nikuumbuwe hapa dhahiri shairi?

Si ndivyo wanavyojiita, lini ulimsikia Nyerere akijiita baba wa taifa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Nyie hao mnaowaita mababa hata kuoa wala kuzaa hawaruhusiwi sana sana wanakashfa kibao za kulawitiana na kuharibu watoto.

Unataka ushahidi?
 
Tatizo lako una mihemko na kiherehere, unakurupuka tu without know how, hichi ulichokiandika una uhakika mimi sijakiandika kabla yako kwenye uzi huu?

Hii ndio shida ya ujuwaji mwingi, mtu akianza kusoma post ya kwa mpaka hii atashindwa hata kukushanga!!
Mbona amekujibu vyema mkuu
 
Mleta mada unafurahisha kweli,kweli. Maana unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe. l.o.l
 
Nakubaliana na wewe mwenye kuleta mada turudi kuwaita viongozi ndugu badala ya waheshimiwa. Ndiyo maana wanajisahau na kujiona kama miungu wadogo. Viongozi ni watumishi wa watu. Kwa nini tunawaita waheshimiwa? Viongozi wengi wa TZ ni wezi na kwa sasa hawastahili kuitwa hivyo. Labda mpaka wajitahidi kubadilika ili wastahili kuitwa waheshimiwa. Mimi nitawaita tu ndugu watake wasitake mpaka nitakapoona wanastahili!
 
Kwa kikao cha chama cha kijama kuitana ndugu flani sidhani kama ni tatizo ni jina la heshima tu kama ambavyo kwa mabepari wangependa neno mheshimiwa
 
Mleta mada umefanya jambo jema. Hata mie nimewahi kusikia Mhe. Kikwete hajawahi kumwita Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa. Eti ana chuki isiyoisha kwa Baba wa Taifa kumnyima urais yeye na aliyekuwa swahiba wa kupika na kupakua EL enzi za boys 2 men! Yapo na mengine yanayosemwa. Kama ni kweli ana chuki isiyoisha kwa sababu alinyimwa urais wakati ule akumbuke kwamba bila Baba wa Taifa kuweka utaratibu mzuri wa kikatiba kwamba urais uwe kwa vipindi 2 tu huenda yeye urais angeusikia kwenye bomba tu endapo Rais Mwinyi ama Mkapa wangeamua kujiongezea vipindi wakatawala miaka 20 kila mmoja! Kwa msingi huo kama yasemwayo ni kweli angepaswa kumheshimu sana Baba wa Taifa maana bila yeye urais ungekuwa ndoto kwake!
 
Back
Top Bottom