Hili la Kikwete kwa Baba wa Taifa na kwa Rais Magufuli ni by coincidence au kiburi tu?

Not a big deal, wakati wa Nyerere ilikuwa ni ndugu, mtukufu lilipigwa marufuku, mheshimiwa nadhani, kwa wanasiasa lilikuja baada ya yeye kung'atuka, tena lilianzia kwa wabunge kupendezwa na kudai kuitwa waheshimiwa.

Mbona kuna mbuge juzi kati hapo bungeni, nimemsahau jina kamuita mh Rais bwana Magufuli. Je hii imemundolea au imempunguzia JPM urais wake.
 
Sikumbuki kama niliwahi kumsikia KIKWETE akiita MTU yeyote mheshimiwa zaidi ya viongozi wa DINI..
 
Watoto waliozaliwa jana utawajua tuu

Nchi hii kila mtu regardless cheo ni ndugu ndivyo ilivyokuwa miaka yote hiyo
 
Mleta mada umefanya jambo jema. Hata mie nimewahi kusikia Mhe. Kikwete hajawahi kumwita Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa. Eti ana chuki isiyoisha kwa Baba wa Taifa kumnyima urais yeye na aliyekuwa swahiba wa kupika na kupakua EL enzi za boys 2 men! Yapo na mengine yanayosemwa. Kama ni kweli ana chuki isiyoisha kwa sababu alinyimwa urais wakati ule akumbuke kwamba bila Baba wa Taifa kuweka utaratibu mzuri wa kikatiba kwamba urais uwe kwa vipindi 2 tu huenda yeye urais angeusikia kwenye bomba tu endapo Rais Mwinyi ama Mkapa wangeamua kujiongezea vipindi wakatawala miaka 20 kila mmoja! Kwa msingi huo kama yasemwayo ni kweli angepaswa kumheshimu sana Baba wa Taifa maana bila yeye urais ungekuwa ndoto kwake!
Mwinyi ndiye aliyeweka vipindi viwili na kuanzisha vyama vingi sio Mwalimu Nyerere. Mwalimu aliingoza nchi kwa miaka 24 chini ya mfumo wa chama kimoja na siasa za ujamaa na kujitegemea. Mzee Mwinyi alibadilisha siasa hizo kupitia Azimio la Zanzibar na uruhusu soko huria na demokrasia nchini.
 
Not a big deal, wakati wa Nyerere ilikuwa ni ndugu, mtukufu lilipigwa marufuku, mheshimiwa nadhani, kwa wanasiasa lilikuja baada ya yeye kung'atuka, tena lilianzia kwa wabunge kupendezwa na kudai kuitwa waheshimiwa.

Mbona kuna mbuge juzi kati hapo bungeni, nimemsahau jina kamuita mh Rais bwana Magufuli. Je hii imemundolea au imempunguzia JPM urais wake.
This guy gets it
 
Wana jukwaa,

Kuna tabia moja sugu na ya muda mrefu nimeigunduwa kutoka kwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete,

Imekuwa ni kawaida kiitifaki kila mtu mwenye nafasi fulani huanza kuitwa kwaile tittle yake hasa wakati mtu anayemtamka mwenzake akiwa ni mtu wa itifaki,

Lakini kwa Rais mstaafu kwa sababu ni mtu wa pwani basi amekuwa na figisu zake za kimyakimya kuonesha kiburi na dharau kwa wengine bila wengi kumgunduwa.

Kwa mfano sidhani kama kuna siku huyu Rais mstaafu aliwahi kumtamka Baba wa Taifa kwa title yake, mara nyingi au zote umtamka kama Mzee Nyerere.

Kilichonisukuma kuandika thread hii leo tena kwenye kikao cha Nec nimemsikia akimwita Rais Magufuri kwa jina la ndugu Rais badala ya mheshimiwa Rais.

Kwa mtu asiyeijuwa vizuri nchi hii ilikotoka hawezi kuelewa mantiki ya thread hii ila kwa waelewa nachokoza mada tu je Kikwete anajuwa vyema na anamaanisha anachokitamka au Coincidence tu?

Kwa wale wanaodandiaga tu mada nakuanza kuharisha bila kuelewa content ni kwamba turudi enzi zetu ambapo kiongozi aliitwa ndugu na siyo mtukufu wala mheshimiwa?
Sio coincidence nadhani ni makusudi kwani ni miaka yote na hii ilipandwa hata kwa wa upande wake kwa makusudi mazima!
 
Mleta mada umefanya jambo jema. Hata mie nimewahi kusikia Mhe. Kikwete hajawahi kumwita Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa. Eti ana chuki isiyoisha kwa Baba wa Taifa kumnyima urais yeye na aliyekuwa swahiba wa kupika na kupakua EL enzi za boys 2 men! Yapo na mengine yanayosemwa. Kama ni kweli ana chuki isiyoisha kwa sababu alinyimwa urais wakati ule akumbuke kwamba bila Baba wa Taifa kuweka utaratibu mzuri wa kikatiba kwamba urais uwe kwa vipindi 2 tu huenda yeye urais angeusikia kwenye bomba tu endapo Rais Mwinyi ama Mkapa wangeamua kujiongezea vipindi wakatawala miaka 20 kila mmoja! Kwa msingi huo kama yasemwayo ni kweli angepaswa kumheshimu sana Baba wa Taifa maana bila yeye urais ungekuwa ndoto kwake!
Asante kaka, Great thinker at work.
 
Nakubaliana na wewe mwenye kuleta mada turudi kuwaita viongozi ndugu badala ya waheshimiwa. Ndiyo maana wanajisahau na kujiona kama miungu wadogo. Viongozi ni watumishi wa watu. Kwa nini tunawaita waheshimiwa? Viongozi wengi wa TZ ni wezi na kwa sasa hawastahili kuitwa hivyo. Labda mpaka wajitahidi kubadilika ili wastahili kuitwa waheshimiwa. Mimi nitawaita tu ndugu watake wasitake mpaka nitakapoona wanastahili!
Absolutely, JF katika ubora wake!
 
Not a big deal, wakati wa Nyerere ilikuwa ni ndugu, mtukufu lilipigwa marufuku, mheshimiwa nadhani, kwa wanasiasa lilikuja baada ya yeye kung'atuka, tena lilianzia kwa wabunge kupendezwa na kudai kuitwa waheshimiwa.

Mbona kuna mbuge juzi kati hapo bungeni, nimemsahau jina kamuita mh Rais bwana Magufuli. Je hii imemundolea au imempunguzia JPM urais wake.
Sugu alimuhita naibu spika ndugu spika basi bungeni, basi yule mama aling'aka na kudemand aitwe mheshimiwa naibu spika, nadhani hoja yangu imejikita kwenye grounds hizo, hamuoni hizi title nyingine za kitumwa ndio zinawajaza ujinga viongozi na wao kujuhisi ni binadamu tofauti?
 
Wana jukwaa,

Kuna tabia moja sugu na ya muda mrefu nimeigunduwa kutoka kwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete,

Imekuwa ni kawaida kiitifaki kila mtu mwenye nafasi fulani huanza kuitwa kwaile tittle yake hasa wakati mtu anayemtamka mwenzake akiwa ni mtu wa itifaki,

Lakini kwa Rais mstaafu kwa sababu ni mtu wa pwani basi amekuwa na figisu zake za kimyakimya kuonesha kiburi na dharau kwa wengine bila wengi kumgunduwa.

Kwa mfano sidhani kama kuna siku huyu Rais mstaafu aliwahi kumtamka Baba wa Taifa kwa title yake, mara nyingi au zote umtamka kama Mzee Nyerere.

Kilichonisukuma kuandika thread hii leo tena kwenye kikao cha Nec nimemsikia akimwita Rais Magufuri kwa jina la ndugu Rais badala ya mheshimiwa Rais.

Kwa mtu asiyeijuwa vizuri nchi hii ilikotoka hawezi kuelewa mantiki ya thread hii ila kwa waelewa nachokoza mada tu je Kikwete anajuwa vyema na anamaanisha anachokitamka au Coincidence tu?

Kwa wale wanaodandiaga tu mada nakuanza kuharisha bila kuelewa content ni kwamba turudi enzi zetu ambapo kiongozi aliitwa ndugu na siyo mtukufu wala mheshimiwa?
Nadhani kamusi itakusaidia sana kukuelimisha juu ya swala lako. Zaidi pita pale BAKITA watakuwa na majibu ya hili linalokukera dhidi ya mzee Kikwete.
 
Lile wimbi la Wabunge kuwakashifu Waasisi wakati ule wa Katiba Mpya lilianzishwa na Kikwete. Lakini mwache Rais Mstaafu apumzike Katika kuagana salama na watu wanaoondoka,ndipo mnabakia salama.
 
Brother Andrew kwa JF ya leo ni ngumu vijana kuisoma comment yako na kukuelewa, naomba kwa faida ya wasomaji wenye vichwa vigumu kuelewa mijadala ya kufikirisha ubongo hebu wafafanulie kidogo, maana hata mimi niliyeanzisha hii thread inaonekana wengi wameshindwa kunielewa.
 
Huko ni kukosa kazi.
Vitu vidogo unavikuza.
Halafu mwenyekiti wenu wa maisha ndugu Mbowe alishawaambia nyumbu wake kuwa waacheni wafu wazikane.
Mgombea uenyekiti wa sisiemu hana mpinzani baada ya wanachama kupigwa mkwara kuwa atakayejitokeza kumpinga atafukuzwa uanachama! Imekaaje hiyo?
 
= Magufuli

Kwanza kabisa napenda uelewe kuwa kumbadili mtu jina na kumwita au kumwandika jina lake ndivyo sivyo ni kumkosea adabu na kuonesha dharau ya hali ya juu kwa huyo mtu.

Cha kushangaza, jina la Rais wetu ni Magufuli, kutwa kucha tunalisoma, yupo kwenye vyombo vyote vya habari vya ndani ya nchi na vingi vya kimataifa vinamwandika vilivyo.

Vipi wewe kinyangarakata kumkosea heshima na kumwandika jina lake ndivyo sivyo?

Kuhusu "ubaba" wa Nyerere, "title" hiyo kwa Waislam si vyema kuitumia. Natumai na Kikwete analifahamu hilo.

Waislam hata kipenzi chetu mtume Muhammad swala Allahu Alayhi Wasalam tunaamrishwa kwenye Qur'an kuwa si baba wa yeyote, ushahidi huu hapa:

Qur'an 33:40
Muhammad is not the father of [any] one of your men, but [he is] the Messenger of Allah and last of the prophets. And ever is Allah , of all things, Knowing.

Hivyo vyeo vya ubaba ni vya Kikristo, sisi havituhusu mtatusamehe sana kwa hilo. Inapaswa mheshimu mafundisho yetu ingawa mnajidai kuwa serikali haina dini. Sisi tuna dini, tukiwa au tusiwe serikalini.

Baba Mtakatifu, baba askofu, padri (baba), mpaka baba Mungu mnae nyinyi.

Kila mwanamme aingiae majumbani kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko"! Sasa tena mnataka kulazimisha " baba wa taifa"?

Eboo! Mnamababa wa ngapi nyie?

Sisi huko hamtupeleki. Baba kwetu ni mmoja tu, aliyekuzaa. Title hiyo hatuwezi kumwita mwengine yeyote. Kwa heshima wengine tunawaita "wazee wetu".
Ajabu Matola unaye kila siku humu jf na unamjua vema tu,ila bado unamuita Ki....kinya....kinyagal..k I n y a n g a r a k a t a!
Umekosa adabu kwa mujibu wako mwenyewe.
 
Lile wimbi la Wabunge kuwakashifu Waasisi wakati ule wa Katiba Mpya lilianzishwa na Kikwete. Lakini mwache Rais Mstaafu apumzike Katika kuagana salama na watu wanaoondoka,ndipo mnabakia salama.
Mh!kwa uzito ulionao hapo kwenye jina lako la pili,sasa nimestushwa rasmi na hii mada.
 
Back
Top Bottom