Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,319
- 4,316
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.
Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?
Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?
Rais ndio anakulipa Mshahara?
Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.
Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?
Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi
Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!