Hili la Bashe, Makonda yupo Sahihi

Hili la Bashe, Makonda yupo Sahihi

Sema Bashe anajeuri ya kipumbavu hata kama anahoja alipaswa kunyamaza asionyeshe Kibri mbele ya jamii anajiharbia sana hamjui Makonda huyu, Makonda ni Shetani mbaya sana akimuamlia hatoboi hata huu mwaka hana kila kitu na tunamsahau.
Sawa,lkn Mbona umemuexaggrate sana Makonda as if ni mungu fulani hivi,Kwamba bila yeye mtu hatoboi?.Maisha ya mtu hupangwa na Mungu na lolote linapotokea twapaswa Kumshukuru Mungu,iwe ni jema au baya.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.

Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?

Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?

Rais ndio anakulipa Mshahara?

Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.

Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?

Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi

Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
Kwani Makonda ni Mwakilishi wa Wananchi hadi atusemee??.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Watoto wakikusumbua sana unawatafutia dude wahangaike nalo upumue kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ila I am still doubting kusema Paul anashambulia mfumo

Paul anaonesha mawaziri mizogo kama bashe ambao majukumu yao na initiative zao huwa hazifiki mwisho and very soon wataenda kudanganya wananchi ili tu wapate kura

Paul yupo sahihi na ataweza, kwa Sababu anayo back up
Wewe bwana.

Bado hujafikiri vizuri, hujafanya homework yako vyema.

Sit back. Do it again unless uwe hujui mfumo wa utendaji wa serikali yetu na nguvu na mamlaka ya mfumo wa u - Rais (imperial presidency) wa nchi yetu..

Kwa mfumo huu, kama waziri anakuwa ni mzigo, basi tambua kuwa kuna mzigo mzito zaidi juu yake unaoitwa "Rais" na huyu wa sasa ni Samia Suluhu Hassan...

Huu ndio mzigo na sio Hussein Bashe..

Kwa mfumo wa utawala wa nchi yetu ili mambo yaende ni lazima uwe na Rais wa sampuli na tabia ya Hayati John P. Magufuli au Hayati Julius K. Nyerere watu walio active na kufanya kazi usiku na mchana. Ni mfumo usio rafiki kabisa. Ni mfumo hatari na unaomchosha sana Rais maana ni mfumo wa "jeshi la mtu mmoja" usiotegemea taasisi imara kufanya kazi bali unamwangalia na kumtegemea mtu mmoja aitwaye Rais..

Hiki☝️☝️ndicho kinachotakiwa kurekebishwa kupitia mfumo wa katiba mpya tunayoililia isndikwe upya..

Paul Makonda sio Rais ndugu Megalodon.

He's there making empty noise na kufanya fitna za kisiasa tu kuwafitini wazembe wenzake ili awekewe rafiki zake akiwemo yeye kwenye nafasi fulanifulani.

Hiyo ndiyo dhamira kuu ya ziara zake, kuwatafutia makosa wenzake ambayo kimsingi kama nilivyosema hapo awali sio yao..

Na Paul Makonda wala hana dhamira yoyote wala uwezo wowote wa kumsaidia mwananchi yeyote kati ya wote anaokutana nao kupitia maigizo yake hayo...!

Jiulize hili.

Kwamba, kama Hayati Rais John P. Magufuli aliyekuwa na nguvu na mamlaka ya u - Rais kupitia maigizo yake barabarani hakuweza kuleta permanent changes badala yake akatuletea cosmetic changes ambayo baada ya kufa akaondoka nayo, huyu asiye na nguvu wala mamlaka yoyote ya kiserikali atafanya nini..?

Yaani kwa ufupi huyu Paul Makonda anafanya maigizo ya utoto na ujinga mtupu. Hayo matarajio yako ni hewa na hutakuja kuona chochote Cha maana toka Kwa watu hawa. Jiongeze na chukua hatua stahiki..!
 
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.

Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?

Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?

Rais ndio anakulipa Mshahara?

Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.

Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?

Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi

Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
Makonda ni tatizo kuliko hata huyo Bashe. Makonda ni shujaa wa watu wajinga na wasio na maono ya uongozi.
 
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.

Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?

Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?

Rais ndio anakulipa Mshahara?

Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.

Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?

Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi

Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!

Kweli kupenda ni chongo! Makonda ana makondakonda mengi mpaka Europa wamempiga marukufu kutia pua zake huko Leo wasema watu wanamchukia kwa majungu? You must be crazy.
 
Mimi napendekeza tuwaandalie pambano wawili hawa maana wana bifu la kitambo sana
 
Sawa,lkn Mbona umemuexaggrate sana Makonda as if ni mungu fulani hivi,Kwamba bila yeye mtu hatoboi?.Maisha ya mtu hupangwa na Mungu na lolote linapotokea twapaswa Kumshukuru Mungu,iwe ni jema au baya.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Inabid. Ukubali makondo anasiasa chafu tangu enzi na anabahati ya kupewa nguvu na wakuu wa nchi sasa wewe jichanganye apite na wewe, hakuna faida ya kubisha ila kujihadhari tu.
 
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.

Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?

Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?

Rais ndio anakulipa Mshahara?

Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.

Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?

Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi

Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
Huyo Msomali hataki kuhijiwa na wanaokamuliwa kodi kumlipa mshahara?
 
Makonda siyo mwakilishi wa wananchi bali ni msemaji wa chama
Ulichoandika hujielewi Kwa hiyo wale Wana CCM maelfu wanaojaa mikutano yake na nguo zao za kijani haruhusiwi kuwa msemaji wao kuhoji viongozi wa serikali?
Pale anasimama kuhoji kama Msemaji wa Hao maelfu wa Wana CCM unaiona wamefurika hapo

Bashe ajiandae na yeye akiona Wana CCM kibao na nguo zao za kijani full mkutanoni akiwepo na Makonda akiwepo ajiandae tu kujibu Hana ujanja .Msemaji anawasemea Hao maelfu Wana CCM waliopo hapo mkutanoni

Na kiongozi yeyote wa serikali ajiandae tu

Chama tawala ndicho kinaweka madarakani Hao wabunge kama Bashe anatakiwa akijibu tu akihojiwa iwe kupitia Mwenezi au kiongozi wa Chama

Chama ndicho kimempa huo ubunge na uwaziri .Bila CCM asingefika hapo na yupo hapo sababu ya CCM

Kifupi ukiona nguo nyingi za kijani zimejaa mkutano wa Makonda kiongozi wa serikali kuwa mpole Chama tawala na watawala wenyewe wa Chama tawala ndio Hao wamevaa kijani kitupu ukiulizwa maswali jibu tu kabla kesho hujatangazwa kutumbuliwa
 
Back
Top Bottom