☹☹☹☹
Mwanangu utamaliza chuo baada ya miaka 25......
Jumla ya ada yako ni tsh milion 16,800,000/= .
Tanzania itakupa Mshahara laki Tsh.700,000/= .... kwa degree yako....ila toa asilimia 10% Nssf (70,000/=)...kodi asilimia 9% (63,000/=)...Helsb asilimia 15% (105,000/=)...NHIF asilimia 3% (21,000/=)...utabakiwa na laki Tsh.441,000/=.....toa nauli kwa mwezi Tsh 90,000/=..toa chakula cha mchana Tsh.90,000/=..toa pango Tsh.100,000/=...toa chakula cha nyumbani elfu Tsh.90,000/= toa gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi Tsh. 30,000/=.......utabakiwa. na elfu "Tsh. 41,000
/ toa bill ya maji 10,000/=, na Billi ya umeme 20,000 utabaki na 11,000/ , weka na Chupa ya maji ya kunywa ya 600 /= ya bakheresa .hapo naona mwanangu Kama utakuwa unadaiwa kila mwezi duh!! Basi komaa hivyo hivyo siku ziende.
Ukitaka kupiga simu tuma tafadhali nipigie maana huna badget ya vocha na pesa imekwisha. lakini pia usisahau kutoa zaka na sadaka .
Usiruhusu wageni kuja kukutembelea, maana hutokuwa na pesa ya kuwanunulia hata soda, . .Aya jitahidi Mwanangu shule njema angalia usigongwe na Bodaboda kwa mawazo ya maisha [emoji134][emoji134][emoji87][emoji87]