KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,748
- 86,386
Mara ya pili sasa nashauri tena hili jukwaa la mapishi libadilishwe title liitwe jukwaa la chakula na vinywaji!, Wahariri wa humu sijui hamulioni hili!, maana hapo linaitwa jukwaa la mapishi tu so vinywaji tunaviweka wapi ama mnataka kuwe na jukwaa la vinywaji pekee!..
Maxence Melo hebu liangalieni hili vyema.
Maxence Melo hebu liangalieni hili vyema.
Swadakta! pia waanzishe jukwaa la waliopigwa ban, ukipigwa ban mnaenda kujadili jukwaa la banned(kama jukwaa la wafungwa flani), ila access ya majukwaa mengine unakuwa huna ...